Hizi ndio tekniki za kumteka beki tatu mpya

Na ukishamtafuna unamlipa? Au ndio ya bure yayo.. oi
 
Aiseee, na wewe unajiita Great thinker? Wenzetu wanawaza kufika Jupiter, huku kwetu watu wanawaza kuchepuka na Beki 3..... Ha haa haa
 
Nzuri
 
Asante sana mkuu.Sasa nnaanza practical kwa Beki tatu wa jiran yng
-
 

Vilevile msisahau kufunga milango nyumba nzima, mkiachwa wawili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…