Hizi ndiyo nyimbo ambazo nikisiliza naona kama vile zimeimbwa leoleo tu.

Mkuu umeuacha USIA WA BABA by Marijani.
 
Hiyo ngoma ya Busta Rhymes ft Mariah Carey ni timeless kwangu , yaani kila siku naiona mpya

Ingine kwangu ni

will you be there -Michael Jackson
I look to you - Whitney Houston
World's greatest - R.Kelly
Sihitaji marafiki - Fid Q ft Yvonne

Zipo nyingi lakini [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Naam mkuu '' Busta Alifanya hit song kali sana kwa mpenzi yeyote wa music lazima aupende ule wimbo..

Mimi ni shabiki mkubwa sana wa MJ napenda kazi zake zote '...

Navutiwa na nyimbo nyingi pia '

Kama -shy guy ya Diana king

Chaka demus --what a bum bum

Chaka demus -muder she wrote

Na nyimbo nyingine nyingi sana -Mimi ni mpenzi pia wa flash back za mam'ton mpaka za lingala za wakati ule haswaa nilikuwa na vutiwa na yondo sister pamoja na ghato
Bila ya kumsahau pepe kalee na kibao chake cha HIDAYA
 
My place by nelly the best
 
Mama Maria - Marijani Rajabu
 
1. Terror Squard-Leam back
2. 50 Cent-Wankstar
3. Detroit City-Eminem
4. Ching- She twerk
5. Naughty by nature- Jamboree
 
Utakuwa muhenga braza [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] , hata Mimi old school nazielewa ila sio lingala
 
1.Gathon_Azalaki Seawa lingala iyo
2.2pac
*Ghetto gospel
*dear mama
3.Simply Red_If you don't me by now you'll never know me
4.Don William
*Listen to the radio
*My best friend
*Good ole boy
*Desperately
*I believe in you
5.Bob Marley
*Three little bird
*No women no cry
*Ruby Tuesday
6.Eddie Rabitt_I love a Rainy night
7.George Michael_Careless Whisper
8.Chris De Burgh_Lady in Red

Mi favorito música
 
1. Terror Squard-Leam back
2. 50 Cent-Wankstar
3. Detroit City-Eminem
4. Ching- She twerk
5. Naughty by nature- Jamboree
Huyu jamaa mm ngoma zake zote tamu nyingine hiyo isikie
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…