Hizi ndiyo nyimbo ambazo nikisiliza naona kama vile zimeimbwa leoleo tu.

Wimbo mkali tafuta utadhani umeimbwa leo..mpiga debe by mzimuni family
 
Tupia hapa tuzipakue
 
Dunia njia - Bushoke hii ni nyimbo yangu bora ya wakati wote.
Kamanda- Daz nundaz ( kama sijakosea jina)
Dingi- Mandojo na Domo kaya.
 
Kali sana kwa anaejua mziki mzuri hizi ngoma hazichuji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…