Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
Wabongo kwa kupenda ngono najua hii thread itapata viewers wengi wakitegemea kuona mambo yetu yalee..😀😀😀
Hakuna aliyependa matatizo ya mwenzake.Ingekuwa ni yako au ya ndugu yako usingeshabikia. Kupenda matatizo ya binadamu wenzako ni uhasidi.
Hakika, huko ni sawa na kuondokewa.Si tu zinasisimua, Lakini pia zinaleta magonjwa hadi vifo.
Lugha gongana mkuu.Dah nimefungua uzi fasta yaani shida.
Haya kunywa maji kwanza kisha ubadili mtazamo wa ulichokuwa unawaza[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimekuja mbio[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakajua naleta vyombo kutoka Xvideo! Hatari sana vijana.Haaaaaah haaaaaaaaa
Umebugi[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hizo sizo mkuu tunazungumzia nyumba[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nikajua ishu za kina Mandingo na veronica Rodriguez
Mbio zoooote ulitarajia kuona nini?Aaah kumbe ni nyumba[emoji125] [emoji125]
Monicer ukajua naleta top ten [emoji1] [emoji1] [emoji1]Akuuuuuuh
Kama ulikuwepo mkuu..Wabongo kwa kupenda ngono najua hii thread itapata viewers wengi wakitegemea kuona mambo yetu yalee..😀😀😀
Hapana mkuu ni mijengoNikajua ni mapicha ya Mataqwor.
Duh! Noma sana mzee babaSpeed niliyo kuja nayo sasa
Nikasema safi papuchi nje nje