Hizi ndiyo sababu kuu maalumu zinanifanya niamini kuwa Simba FC watapigwa goli nyingi mbele ya wageni wa kimataifa

"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Kesho ni mwisho wa ngebe zote pale msafara wa madume ya Mamba utapomwambia kenge arudi Nyumbani safari ya wababe haimhusu!

Simba itakandwa na Al Ahly 5G na kolowizard wote mnaojisifu mkuje hapa jukwaani baada ya mechi!
 
Kwa vile huna akili
 
MACHOKO hamuwezi kwisha Nchi hii
 
Tatu Malogo fc kufungwa na Ahly aitakua ishu wala hakuna mtu wa Mpira apa Afrika atakae shangaa labda kiwe kipigo cha mauji ya shalbelah.
Mshabiki yoyote wa Tatu Malogo fc atakaye lalamika kwa kipigo atakua mnafiq wa kiwango cha kutukuka kwakua timu yao imekua maranyingi ikipata matokeo kutokana na makosa ya kibinadamu.
Tunaomba kama mechi itakwisha kwa kipigo basi kocha Robertinho, pira Objective asisumbuliwe.
 
Hapo C, umepiga kwenye mshono.
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
WEKA NA MANENO ALIYOYASEMA MWENYEKITI MSTAAFU MH RAGE.
 
NAKAZIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…