Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
kwenye kipindi cha American talk show aliwahi sema kitu kuhusu beat hiyo dah maneno yake nazidi kuyaaminiHiyo ya Dokta Driii...
Aisee, sijui alitungia chooni mbona imekaa sana na bado haijapata mpinzani😬🙌🙌
Ukitaka kujifunza freestyle ruka na hiyo .Iyo ya still dre na Snoop kama kuna mtu hajawai fanyia rap bado hakufanya michano
Beat imekunjwa haswa ndio maana watangazaji walikuwa wanaikubali hata wasanii kwa freestyleHiyo ya Dokta Driii...
Aisee, sijui alitungia chooni mbona imekaa sana na bado haijapata mpinzani😬🙌🙌
Hiyo ya Dr Dre nakumbuka enzi hizo Redio Free na kina Fredwaa na Mr Laki sita Volt siku ya Jmosi kuanzia saa tatu.Kwa wale waliokuwa wapenzi wa kusikiliza vipindi mbalimbali vya radio bongo.
Watakubaliana nami kuwa beats za hizi ngoma za hip hop mbili
- Tatu bila ya Tmk wanaume halisi
View attachment 2768378
na
- Still ya dr dre ft snoop dogg
View attachment 2768379
View attachment 2768380
Ndizo beats zilizo tumika sana kwenye vipindi mbalimbali ndani ya radio za bongo kama background beats.
Kama kuna beats nyengine zilizo umiza kwenye vipindi vya radio bongo zaidi ya hizo mbili zitaje⏬
Sio poa hiyo beatHiyo ya Dr Dre nakumbuka enzi hizo Redio Free na kina Fredwaa na Mr Laki sita Volt siku ya Jmosi kuanzia saa tatu.
Noma sana........nimeshikia kiredioa kidogo na Eria juu nimeivuta.
Unazinguakuna ile ya captain J.Komba CCM mbele kwa mbele na acha waisome namba. biti zake ni kali sana na zimetumika sana maredioni aise, yaani umeziachaje 🤔
Inaizidi Ile ya Nas I Can?Ukitaka kujifunza freestyle ruka na hiyo .
Hii ni beat bora ya Hip hop ya muda wote hakuna inayo isogelea
🥹 hatari sanaWatangazaji wa radio hasa vipindi vya mchana bila moja wapo ya hizo beats kupigwa mzuka walikuwa wanakosa kabisa.
View attachment 2768382
Hamna beat mule 🤣Kwangu Mimi Ile beat ya kwenye kipindi cha "jahazi" pale clouds fm ndo beat Bora kwenye radio show...
R.i.p kibonde