Hizi ndizo bidhaa original toka enzi

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Kumekua na bidhaa Original toka zamani japo siku hizi zimekua nyingi.Kuna kitu usipokitumia moyo wako hauwi na furaha.
Hebu tushee kwa pamoja bidhaa ambayo unaipenda kuitumia sana iwe Sabuni,mafuta ya kujipaka,chochote ili tushee uzoefu.
 
Imperial leather soap original ni ya aina moja tu na zinapatikana zaidi Nairobi. Zingine za sasahv nyingi tu zimechakachuliwa

OG kabisa ukiitumia hata hiyo label yake inabaki ya mwisho kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…