makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Utajua hapo hapo wakati anapanua km kuna kitundu au kitundaKitundu mdogo au?mkuu
Hili linda ni used spare part.Au utachukua hii ?View attachment 2692735
Sabuni yangu pendwa. Nilirithi toka kwa mzee wangu maana ndio ilikuwq sabuni yake toka najitambua mpaka anaaga dunia mwaka juziKumekua na bidhaa Original toka zamani japo siku hizi zimekua nyingi.Kuna kitu usipokitumia moyo wako hauwi na furaha.
Hebu tushee kwa pamoja bidhaa ambayo unaipenda kuitumia sana iwe Sabuni,mafuta ya kujipaka,chochote ili tushee uzoefu.View attachment 2692608
Wewe chukua hiiHili linda ni used spare part.
Oya hapo ukipekenyua kalio na kalio, kisha ukapitisha ulimi kudadeki.. 😂🤣Wewe chukua hiiView attachment 2692877
Basi chukua hii ni OriginalOya hapo ukipekenyua kalio na kalio, kisha ukapitisha ulimi kudadeki.. 😂🤣
Imperial za Kenya ni nzuriKumekua na bidhaa Original toka zamani japo siku hizi zimekua nyingi.Kuna kitu usipokitumia moyo wako hauwi na furaha.
Hebu tushee kwa pamoja bidhaa ambayo unaipenda kuitumia sana iwe Sabuni,mafuta ya kujipaka,chochote ili tushee uzoefu.View attachment 2692608
Hii bidhaa bado ipo haswa mikoa ya karibu na Kenya
Naamini Biology ulifeliSkuizi Kuna adi condom fake zilizopandikizwa virusi...original condom ni zipi?
Product ya Unilever Kenya
HADI NGUO INA "MARINDA"Au utachukua hii ?View attachment 2692735
Huyu alimuua AHA kifo kibaya sana
Zipo Shoppers wanauza 4 kwa 6500Imperial leather soap original ni ya aina moja tu na zinapatikana zaidi Nairobi. Zingine za sasahv nyingi tu zimechakachuliwa
OG kabisa ukiitumia hata hiyo label yake inabaki ya mwisho kbs
Kangaroo Kenya wameua kabisa hii brand ya Kenya.Mzigo mwingine huuView attachment 2692729
Virus vinakaa kwenye damu kwenye condom vinakaaje fafanuaSkuizi Kuna adi condom fake zilizopandikizwa virusi...original condom ni zipi?
Gazeti la saa sitaHii ni bidhaa originalView attachment 2692647