bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Gazeti used
Huu ndio wenyewe toka enziMzigo mwingine huuView attachment 2692729
hilo jina lake tuu naonaga kama nimebeba bomu
Wewe ni shetani katika jumbile la mwanadamu.. ushindwe mzee..Mwendo wa milio ya Paka fwaufwaaaau... Kishakilaza kichwa chini tayari haya endeleaView attachment 2693058
MUNGU FUNDIWewe ni shetani katika jumbile la mwanadamu.. ushindwe mzee..
ππ€£
Tupia na kapicha ka demu mkali ka kusindikiza huu Uzi mkuuKumekua na bidhaa Original toka zamani japo siku hizi zimekua nyingi.Kuna kitu usipokitumia moyo wako hauwi na furaha.
Hebu tushee kwa pamoja bidhaa ambayo unaipenda kuitumia sana iwe Sabuni,mafuta ya kujipaka,chochote ili tushee uzoefu.View attachment 2692608
Hata useme vipi si tunatizama wow wow, hili lenyewe hatuachi πππKula kwa macho.... Likichomelewa kwenye Jean's linaonekana lina bonge la tako likivua nguo tako iina mabonde mabondeView attachment 2692718
Sawa sawa kula kwa macho na hii ..Hata useme vipi si tunatizama wow wow, hili lenyewe hatuachi πππ
Utatukill mzee.πSawa sawa kula kwa macho na hii ..
View attachment 2693471
Nikiliona hili kopo utooni. Huwa lina kazi gani?.
Virusi vikiwa kwenye condom haviishi. ila vikipata damu ndo vinageuka kuwa hai.Vinaishi kwenye cell hai,Sasa sijui Kama cell zinawezaendelea kuwa hai kwenye condom zinazokaa baharini miezi ndipo zifike Bongo
Bei gani huko uzunguni?Imperial leather ndio sabuni yangu pendwa.
Kuna mtu alikuja toka uingereza alikuja nazo akijua mie ni mpenz wa sabuni hizo, aisee ni tofauti kabisa, hizi za kwetu nyingi ni feki kwa kweli.
whitedent za siku hizi haina ubora ule uliozoeleka
Najuaje mzee hata uingereza sijawahi kanyaga.Bei gani huko uzunguni?