JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Dhana ya Utawala Bora ikitekelezwa huleta faida zifuatazo;-
- Matumizi mazuri ya rasilimali za nchi;
- Maendeleo endelevu;
- Kupungua kwa umasikini, ujinga na maradhi;
- Kutokomea kwa rushwa;
- Huduma bora za jamii;
- Amani na utulivu;
- Kuheshimiwa kwa haki za binadamu;
- Utatuzi wa migogoro kwa mujibu wa sheria na taratibu; na
- Kuleta ustawi wa wananchi.
Upvote
1