J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 May 7, 2021 #1 Dhana ya Utawala Bora ikitekelezwa huleta faida zifuatazo;- Matumizi mazuri ya rasilimali za nchi; Maendeleo endelevu; Kupungua kwa umasikini, ujinga na maradhi; Kutokomea kwa rushwa; Huduma bora za jamii; Amani na utulivu; Kuheshimiwa kwa haki za binadamu; Utatuzi wa migogoro kwa mujibu wa sheria na taratibu; na Kuleta ustawi wa wananchi. Upvote 1
Dhana ya Utawala Bora ikitekelezwa huleta faida zifuatazo;- Matumizi mazuri ya rasilimali za nchi; Maendeleo endelevu; Kupungua kwa umasikini, ujinga na maradhi; Kutokomea kwa rushwa; Huduma bora za jamii; Amani na utulivu; Kuheshimiwa kwa haki za binadamu; Utatuzi wa migogoro kwa mujibu wa sheria na taratibu; na Kuleta ustawi wa wananchi.
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 May 7, 2021 #2 Maendeleo ya watu na si maendeleo ya vitu - people-centred development
ANKOJEI JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 996 Reaction score 745 May 7, 2021 #3 MBONA UTAWALA JUMUISHI HUTAKI KUWEKA