Hizi ndizo kozi ambazo ukisoma na kupata ajira yake unakuwa umeshatoboa maisha moja kwa moja hapohapo

Hiyo namba tatu, SEMA kama unatafuta ajira nje ya nchi, kwa hapa bongo, fulsa ni chache,
Tigo,voda,Airtel, halotel, ttcl,na makampuni ya wakandsrasi, yanayowafanyia kazi, kama htt, mineral. Com, tower Afrika,
Yote haya yapo bongo, na yana wataalamu wa telecom, umeme, mechanical, kila wakati yanatoa ajira,
We soma,mechanical, na electrical, au, telecom, Huawei peke yake Ina watu wa telecom kwa dar peke yake kama 50!
 
sawa farijianeni kwa maneno hayo ila me ntakomaa na electrical & computer engineering hadi mwisho kila mtu asome anachokipenda
 
Huyu manager wa makampuni bado ana Akili za kishuleshule. Enzi zil ukiona mtu akisoma pcm ama pcb tayari anajua akatoka kimaisha anaanza kumdharau aliyesoma hgl.
Doto biteko Ni mwalimu wa daraja 3A aliongeza tu. Hakuna formula katika maisha. Both luck and unluck events are happening randomly sema when opportunity meets with preparation then mtu anadaka bet yake anasepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…