Hizi ndizo Mechi Mbili zijazo za Man Utd

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Baada ya Wiki mbili zijazo Man Utd atakuwa nje ya top4 hili halina ubishi kwa kutizama ratiba yao tu huitaji uwe na PhD uelewe nini kitajiri.

Jumamosi ijayo saa 8:30 kwa majira ya Afrika ya Mashariki ni Man Utd Vs Spurs.
Phik Jones na Bailly wote ni majeruhi, beki gani atamkaba Hary Kane?
Kwenye kiungo Matic amechoka kwa kubebeshwa mzigo mkubwa peke yake, nani wa kuwazuia akina Delle Alli, Sissoko na Eriksen?

Baada ya hapo, Man Utd atasafiri mpaka Stamford Bridge "Darajani" kuwakabili Mabingwa watetezi Chelsea.
Nani atamzuia Morata, Hazard na Pedro?

Mimi nikiwa kama Mshabiki wa kutupwa wa Man Utd, nadiriki kusema ukweli Ujanja ujanja wa Mourinho unakaribia kufika mwisho. Man City ni bingwa mteule, Man Utd pambaneni msitoke nje ya top4

Povu ruksa!
 
Wewe kweli sio mfuatiliaji wa hii ligi. Hivi unajua hao Man City toka ligi imeanza hawajakutana na timu kubwa hata moja?
 
Mbona huku amna viroba kwenu mnavipataje?
 
Everton usimsahau kwenye ubingwa maana alimkomesha kiboko yao man city asubuhi tu,usimsahau na yule dogo aliyemkazia tot kwenyewe top4
 
Kipind man u yupo katika hali mbaya alicheza na totenham aliibuka mshindi tenà nakumbuka totenham alikuwa na record ya kutokupoteza akajapoteza kwa man, siku zote totenham hawawawezi man u
 
Wewe kweli sio mfuatiliaji wa hii ligi. Hivi unajua hao Man City toka ligi imeanza hawajakutana na timu kubwa hata moja?
Chelsea bingwa mtetezi ni timu ndogo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…