Hizi Ndizo Nasaha Nilizopewa na wazee Mimi Kama Kijana wa Kiume! Itakufaa sana wewe Mwanaume!

Wazee wanashauri umfanye mke kama kijakazi adui.
 
Kila mtu kulala chumba chake kwa maisha haya ya mjini huo ni mtihani kama mitihani mingine
 
Nadhan hao wazee wameongelea hizo nasaha kwa jinsi wanawak wa zamani walivyokua...hawa wetu wa 50/50 nasaha hizo hazitafany kazi
 
Si lazima mfate, msitokwe mapovu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…