Hizi ndizo ndege zinazomilikiwa na Kenya Airways as of 2018

2nd one on order n full paid already!
Usijali, ya pili itawasili interchange ya pili itakapomaliza kujengwa. Ili mkasi ufanye kazi yake ya kuzindua..... kwa mpigo. Hahaha! [emoji38][emoji38][emoji38] Hii joke lazima ntamuuzia Erick Omondi.
 
Last i checked ATCL had 1 787 not 2.
Ndio maana tuwaambia roho mbaya inawatesa sasa umeenda gugo kutazana tz ana ndege ngapi hiyo ni roho ya kichawi kwa taarifa tu tunamdai Boeing tu,kingine kwa mapesa yaliyopo tukiamua tunaweza nunua ndege chakavu za KQ zote.
 
My bad. ATCL aircraft are leased from the Governement Flight Agency.
This was actually a way to protect them from ATCL's many and mighty debtors.
 
Congrats our majirani, nasi twaja taratibu japo ni biashara ngumu!
 
Ndio maana tuwaambia roho mbaya inawatesa sasa umeenda gugo kutazana tz ana ndege ngapi hiyo ni roho ya kichawi kwa taarifa tu tunamdai Boeing tu,kingine kwa mapesa yaliyopo tukiamua tunaweza nunua ndege chakavu za KQ zote.
Sasa mpaka kiswahili kimekuwa taabu. You can't construct a simple coherent statement?
 
Sasa mpaka kiswahili kimekuwa taabu. You can't construct a simple coherent statement?
Tambua Mimi ni Mswahili na kiswahili nacheza nacho ninavyoweza Ila sina utumwa wa lugha ya malkia na wala si sifa kwangu kwa zaidi ya ujinga.
 
Ndio maana tuwaambia roho mbaya inawatesa sasa umeenda gugo kutazana tz ana ndege ngapi hiyo ni roho ya kichawi kwa taarifa tu tunamdai Boeing tu,kingine kwa mapesa yaliyopo tukiamua tunaweza nunua ndege chakavu za KQ zote.
Hta marekani kw pesa walizokuwa nazo..wanaeza nunua ndege zote za africa...
Sasa hyo point yako ni ya kijinga...ndege 40 hamuziwezi kw sasa...muende root zipi na kwnye game bado nyi wachanga..si zitakuwa km daladala hko bongo...manake Mumbai yenyewe imewashinda
 
so leased aircrafts sasa zimekua zenu ukija na link official kua kq inamiliki ndege hzo usisahau kunitagπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Usilazimishe vitu ambavyo havipo. Agencies and public companies owned by the government.
Hivi umewahi kufikiri Government agencies zinapata pesa wapi kulipa mishahara!?
Hujui kuwa ATCL inatoa 100% dividend to the GOT!?
Usitake kulazimisha tufanane na capitalist countries we are socialist country sawa!?

Attachments

  • IMG_20181102_175031_655.jpg
    49.4 KB · Views: 26
yani yeye neno leasing linampa tabu sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anataka tufanane
 
Hata ukikopo kitu kinakuwa ni mali yako hivyo unaweza tangaza ni chako... kwahiyo ndege ni zenu misiogope kulikua hakuna haja ya kuweka uzi huu
 
Parastatals are owned by the government but when they lease from the government, they pay just like anyone else. The government is just a shareholder like any other shareholder. BTW, as of now, KQ owns ALL of her planes. The last plane we leased was a Boeing 747 cargo plane below from KLM which is no longer part of the fleet. Remember KQ has 40 planes, not 4 like ATCL.
 
40 planes leased planes πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mzungu anakunywa chai anasubiri fungu lake nyie mumebakia kuhangaika na loss miaka mitano sasa😝😝😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…