Inasikitisha sana mtu kaoa tena ndoa ya kimungu na kwa heshima kubwa halafu unamkuta kwenye madanguro na mausiku klabu, kikubwa anatafuta malaya na hana ugomvi na mkewe kisa tamaa tu. kuna mana gani ya kuoa halafu unakuwa na tamaa kibao za wanawake wengine, ki ukweli hili linanichefua sana tena sana. wanaJF tuungane kuwashauri wanandoa wenye akili mbovu kama hizi....

duh...watu wakware humu...
Wewe ni HE au SHE?, umeoa/olewa?!. Ukiona baba anamucha mwenza kitandani na kwenda kwa wajasiliamali ujue huyu aliyeachwa ndani is a problem too.
Kila jambo linalotokea, kuna sababu ya kutokea. Ukiona mwanaume amemwacha mke wake ndani na kwenda kununua penzi ujue kuna sababu ya kufanya hivyo!
Ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa.

bWA MDOGO,Inasikitisha sana mtu kaoa tena ndoa ya kimungu na kwa heshima kubwa halafu unamkuta kwenye madanguro na mausiku klabu, kikubwa anatafuta malaya na hana ugomvi na mkewe kisa tamaa tu. kuna mana gani ya kuoa halafu unakuwa na tamaa kibao za wanawake wengine, ki ukweli hili linanichefua sana tena sana. wanaJF tuungane kuwashauri wanandoa wenye akili mbovu kama hizi....