Hizi ndizo sababu? Wakaka inawahusu

laiti kama wangejuwa maisha ya ndoa yapoje wala hayo masherehe yasingekuwa makubwa ivyo,,,,chezeya ndoa ndoano wewe?
 
Smile umsema

Mnatumia milioni 30 kwa siku halafu maisha yanabaki kuwa ya kubangaiza

na majukumu kuwa mazito mpaka UPENDO wenu wa mwanzo unakwisha kabisa

kwasababu ya matatizo ya kiuchumi

Bora iwe kimyakimya na maisha yawe MURUA , utafurahia
 

hapa lazima utakuunampima bwana wako kama nibahili au sio..
 
izo ni gharama za harusi sio ndoa bwana
mwenye shida ya ndoa anione mimi nahamia hivohivo bila harusi
sina makuu mie

Duh..umenena, wabongo tunapenda sana sherehe na kujitutumua. Km ndo ningekuwa nataka ndoa na nimeshapiga ngarama za sherehe nikaona zipo juu, ningempachika mimba binti ili ahamie kwangu baadae tuhalalishe kirahisi.
Shida siku hizi hata wanaobariki ndoa wanafanya sherehe kubwaaaa bi harusi na gauni jeupe na shela wakati ana watoto 5! full complication.
 
Mi narudi kwetu machame dada zangu watatu wameolewa nguo kitch,send na harusi nakumbuka mama yangu (RIP) ndio aligharamia kwa jinsi alivyo kuwa anawapenda mabinti zake alisema nayeye awavalishe for the last time,,,,hata mahari awakulipiwa kubwa wala vikorokoro avikuwa vingi so mashemeji zangu awakukamuliwasana ndio maana kila wajapo home wanaleta minofu ya kuku,,,,we unaenda kuowa sehemu bado wanaishi nyumba ya tope huko bwinde kudadeki lazima wakukamue hadi yatatoka maji,.......kwa mtaji uhu narudi kwetu ilyo 14m kile kiwanja nitakachopewa zawadi na mshua nitaanza msingi wa nyumba
 
izo ni gharama za harusi sio ndoa bwana
mwenye shida ya ndoa anione mimi nahamia hivohivo bila harusi
sina makuu mie

Are you serious or just kidding.......
Thanks
 
mume si mume au ? Cv ya nini?

Unaelewa vizuri unachoulizwa!
Haya kama mume ni mume , naanza makeke ila staki uje unilalamikie ooh cha'pii, sijui anahesabu finyango! Ooh hata nikiwa NASA ye anataka tu!
 
unaelewa vizuri unachoulizwa!
Haya kama mume ni mume , naanza makeke ila staki uje unilalamikie ooh cha'pii, sijui anahesabu finyango! Ooh hata nikiwa nasa ye anataka tu!
kwani wewe hujui jema na baya?
 
na wazazi wa kike wakiendelea hivyo watakuwa wanalea wajukuu tu bila kuwaona baba zao. Nan anataka hzo gharama za ajabu.
 
Ktk mila na desturi za kiafrika kuna kuoana? natania 2,kweli gharama ziko juu,mahari ni kubwa mno ukiuliza unaambiwa gharama za maisha ziko juu!
 
KWA NINI WANAUME WENGI SIKU HIZI WANAKWEPA KUOA

KAAZI KWELI KWELI!
Sasa nini kifanyike kama hizo ndizo sababu?


Hapo ntakuwa naoa au najiongezea umasikini? Si bora nimkandike mimba mtu huko mtaani niwe na kazi moja ya kupeleka hela ya matumizi tu kuliko kujitia presha yote hii halafu baada ya mwezi mtu anakuchenchia/anakuwashia moto, lol!
 

vp kuna waliobaki mkuu nije jibebea mmoja? natamani sana kulala usingizi wa mang'amung'amu mie!
 
hapa lazima utakuunampima bwana wako kama nibahili au sio..

YAANI!
Nijinunulie gauni na mahari nimchangie? thubutuuuuu!! ...nikifika ndani aanze kusema yeye kanioa!
Agharamie tu ivo vitu viwili.
 
vp kuna waliobaki mkuu nije jibebea mmoja? natamani sana kulala usingizi wa mang'amung'amu mie!

mkuuu wapo ila subiri amalize chuo lakini utamuweza mtoto wa kimachame aka palestinaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…