Hizi ndizo silaha zilizoifikisha Young African SC kwenye kombe la shirikisho

Hizi ndizo silaha zilizoifikisha Young African SC kwenye kombe la shirikisho

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Hakika yanga inastahili kupewa maua yake kwa hatua kubwa/viunzi vigumu ilivyo viruka nakufika hapo ilipo hakika inastahili pongezi maana imeliheshimisha taifa kwa ujumla.

Kupiga hatua kwa yanga Kuna silaha madhubuti /maridhawa zilizotumika mpaka yanga kufika hapo ambazo ni Kama ifuatavyo.

(a) Kocha na benchi lake la ufundi imara, hapa Kuna kocha wa mpira Prof Nabi, makocha wa viungo na makipa hakika wamejitahidi sana katika kuweka sawa miiili ya wachezaji wanastahili pongezi/sifa maridhawa.

(b) Video analyst (mchambuzi wa video) yanga ilimsajili huyu mwamba watu wakaanza kuleta utani, hakuna asiyejua kuwa yanga inashinda mechi za nje na ndani pia bila wasiwasi wowote huyu video analyst anaifanya kazi yake vyema kabisa.

(C) Uwekezaji/usajili wa wachezaji Bora , hapa yanga naipa eco katika kusajili quality players hakika matunda ya wachezaji Bora tunayaona, huwezi kuwa Bora kimataifa Kama hausajili wachezaji Bora hakika hii inaleta mafanikio katika timu.

(d) Viongozi wasioteteleka, uongozi huu ni tofauti na uongozi uliopita kuwepo kwa damu changa hakika inachangia kuleta mawazo chanya/ubunifu mujarabu ndani ya timu.

Hakika engineer Hers na wenzake wanaupiga mwingi mnoo mpaka una mwagika.

NB: Yanga inaliwakisha vizuri taifa na inafuta ile aibu ya timu fulani iliyopigwa faini kwa tuhuma za kichawi na kuchoma uwanja.

1682338988536.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
KIONGOZI NA AFISA UHAMASISHAJI WA YANGA ALIWAHI KUSEMA

"YANGA WENYE AKILI NI WAWILI TU MZEE KIKWETE NA MZEE MANARA".

HAJI SANDAY MANARA.
POLIMILAI
 
KIONGOZI NA AFISA UHAMASISHAJI WA YANGA ALIWAHI KUSEMA

"YANGA WENYE AKILI NI WAWILI TU MZEE KIKWETE NA MZEE MANARA".

HAJI SANDAY MANARA.
POLIMILAI

Kila wanapofanya mazuri badala ya kuwapongeza tunarudia usemi ule ule mara kombe la looser mara wenye akili
Hisia za maneno ya mtu mmoja hayaondoi ubora wa Gongowazi kwa sasa
 
Silaha kuu ni kufurushwa katika ligi ya mabingwa hizo nyingine ni mbwembwe tu.....
 
Hatua aliyofika yanga Simba walifika lini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hamjafika Bado maana km ni robo Simba ashafanya sana .
Hii sentens inapaswa isemwe baada ya kufika nusu kushinda ugenn haikupi uhakika kias hicho maana hata wao wanaweza shinda nyumban kwenu.
Hii dhana ya kujiamin sana ndio iiyowatokea puan wiki iliyopita Kwa kukandwa na mnyama.
Kila mwana yanga aliamin yanga ingeshinda dhid ya Simba ila kilichotokea nadhan unaelewa .
Mpira wa miguu una mengi sana.
 
Yanga inashinda tupinge Kama unabisha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom