NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
Naaaam afande denisi alitufanya tukalia NGWENA sana[emoji29]Nalia ngwena wa ruvu jkt[emoji23][emoji23]
Hawaamini macho yao.Naona comments za madunduka zinatoa machozi. Sijui shida ni nini?
Hilo huwa hawalizungumzii kabisa.RAGE ALIWAHI KUSEMA WANASIMBA WOTE NI MBUMBUMBU [emoji16]
Haitabadili maana kuwa mlifurushwa kule kwa mabingwa wa afrika mkadondokea lizaz[emoji1787]
Kipindi yanga wanaweka historia mpya nyinyi endeleeni kuleta kejeriHaitabadili maana kuwa mlifurushwa kule kwa mabingwa wa afrika mkadondokea lizaz[emoji1787]
Mwenyewe unaona umeongea point kweli[emoji16]Silaha nyingine ni kutolewa kilabu bingwa,