15. Usiri.
Mwanamke anaweza kuificha siri ya ubaya wake ukaishi nae hata miaka 10 na usijue..akitambua fika kama ungejua basi mapenzi/mahusiano yatakwisha.
16. Maigizo.
Anaweza kusifia jambo, akaliapokea jambo kwa muitikio mzuri ukihisi upo pamoja nae au analipenda..kumbe hakipendi anaigiza tu.
17. Kukunyima utamu.
Muda ule upo tayari mizuka imeamka unaomba mechi anasingizia anaumwa au hajisikii vizuri..sababu za msingi hakuna, au ana jambo lake analolitaka mpaka umkubalie.