Na bado,hadi utaniomba mwenyewe nirudiNilitamani nimuite Nifah hapa aje atoe maoni yake.. Ila nashindwa! Daaaahh mda mwingine mpaka najilaumu kumpa likizo ya kujadili mambo ya teams hahahahaha
Ila WCB tuko level nyingine aiseeee [emoji123]
Mpaka nimekuwa mzito yani kuchangia hizi mada za teams [emoji23] [emoji23]Na bado,hadi utaniomba mwenyewe nirudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ligi ni raha sana my love,hasa wabishani wanaposhusha facts nzitonzito...
Umebakia wewe kumpa hio viewsWcb wametisha sana. Ila sielewi why Mavoko hapati views nyingi kihivyo. I hope mwakani atatisha zaidi
Hahahahaaa! Duh!!!Una-complicate mambo tu. Wamesema nyimbo zilizotazamwa zaidi mwaka 2016, sio nyimbo zilizotazamwa kwa kasi.
Mkuu wasamehe tatizo ni ushabiki mandazi na mambo ya uteam............hili litafanya tusiwaone wasanii wazuriHalafu na nyie bana, sijui mmesomea shule ya kata gani. Time ni factor kubwa sana. Harmonize ft Diamond kwa mwezi ana viewer M1, kawa namba 2. Darasa kwa mwezi ana viewers M2 kawa wa 14. Halafu mnasema mmetuandalia, mmeandaa.....au mmekurupuka!