Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Wapendwa nawatisha la hasha nawaweka haya kukusaidia wewe unaekaribia kuoa ndoa ni taasisi kama taasisi zingine unapoingia jifunze kwanza kukoje je faida na hasara ni zipi
Kwanza nitaweza kuvumilia ama lah
Natoka kikao kimoja cha wanandoa kwa mjumbe bahati n mjumbe msaidizi na niko kwenye kamati ya usuluhishi.
Hawa wapendwa wana ghorofa..wana nyumba za kupanga kama 13 eneo nilipo
Naona kimeumana mke anataka talaka mume anaomba wasuluhishwe kwanza yani mpaka naondoka nimemwachia zigo mjumbe nawaza kwanini mwanamke anakomaa na talaka.
Huyu dada ni mchaga mpaka namliilia dada nina watoto wanne utawapeleka wapi akajibu kwani walitokea wapi fah na ninaheshimiana nao kweli
Kesho nitaulizia kilochojiri maana mmh..anawaona anaziona na hizi ndoa zetu
Wana maduka ya nguo sore za magari huko kariakoo na tegeta nawaza tu. Na we endelea kuwaza ndio uingie