ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Majengo mengi kama sio yote ya gorofa yakiwa kwenye ujenzi Huwa yanavishwa net, Sasa hizi net kazi yake ni ipi hasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How? Kama ni usalama kwani ni ngazi hizo?Usalama
ukitoa misumari hayo maelezo mengine hujaeleweka.Misumali isidondoke kuumiza watu wa chini ya jengo ila huu uzi wa tatu au wa nne unajirudia ina maana mkuu hata kwa akili za kawaida huwazi jibu😬
Endelea kuulizaukitoa misumari hayo maelezo mengine hujaeleweka.
Ngazi ni za kupandia, haziwezi kuzuia vitu kama nondo, tofali mbao nk zisiweze kudondoka, hivyo kwa usalama wa wapita njia au wanaokuwa njiani lazima waweke nyavu na pia inazuia hata takataka kama vumbi kusambaa hovyo.How? Kama ni usalama kwani ni ngazi hizo?