Linapokuja suala la kutajwa series Bora hizo nitakazoandika Mara nyingi hazitajwi lakini Ni Kati ya series Bora kabisa inawezekana na kutoangaliwa na watu wengi au lah!
1. Banshee
Tumezoea asilimia kubwa za series za ngumi au movie za ngumi hazinaga story zakuvutia ukiachana na mipigano yake lakini kwa Banshee imeleta utofauti mkubwa Sana Ina ubunifu mkubwa Sana wa story yake unaweza usiwe mpenzi wa ngumi lakini ukavutia nayo Ni kutokana na namna ilivyopangiliwa vizuri.Hii series inahusiana na Muhalifu kuchukua identity ya upolisi
2. Into the bad land
Hii nayo Ni moja ya series nzuri ya mapigano na pia Ina storyline nzuri
3. Boewolf
Nimependa Sana ubunifu uliotumika kwenye hii series Ni moja Kati ya series nzuri ya mapolini.
4. Outpost
Ni series nzuri ya mapolini pia yenye maudhui ya kichawi.