Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 161
Hivi hii nayo ni bendera? Ya nchi gani?
http://www.appliedlanguage.com/flags_of_the_world/medium_flag_of_libya.gif
hivi hii nayo ni bendera? Ya nchi gani?
http://www.appliedlanguage.com/flags_of_the_world/medium_flag_of_libya.gif
Mbona hamna kitu Preta?
Duuu, watu mna GOOGLE au mnafahamu. Nilitaka kusumbua watu kidogo ila nimejibiwa haraka sana. Naona wengi sana Geography inapanda. Nakumbuka tukiwa shule ya Msingi, kulikuwa na mchezo wa kutafuta majina ya miji kwenye ramani. Sehemu zilizosumbua zilikuwa Kamchatka (Russia), milima ya Atlas (morroco) na kiboko ni pale jamaa alisema tumtafutie URI YA A KUSINI. Tusisota kama nusu saa hadi jamaa mmoja akaanza kucheka saaana na kusema "wee Mjinga, umetusumbua saana kwa uzembe wako, siyo URI YA A KUSINI ila maneno mengine yako upande wa pili wa ukurasa, na inatakiwa kuwa JAMHURI YA AFRIKA KUSINI". Kutoka siku hiyo tukaacha kutafuta maana ilikuwa ukisema tu jina, basi hata dakika haijaisha wameshakuonyesha.
Bwana sikonge shule za zamani ramani yote ya dunia na bendera zake zilikuwa kichwani lakini watoto wanaosoma sasa sidhani kama ukiwauliza wanaweza ..
Kuna sikunilikuwa nasikiliza Redio mtoto wa Intrenation skuli anaulizwa Makamu wa Rais anaitwa nani hajui..
Sipati picha!