Hizi ni dalili za HIV au ni stress!!?

Hizi ni dalili za HIV au ni stress!!?

Subir miez kadhaa kapime tn kwn km ulicheza Rough km haja y kuhakiki tn mara baada y kpnd cha mficho ambacho ht km uliambukiwa vpimo vy 'kawaida' haviwez ones ha +ve kwn vyenyew vnategemea king dhid y HIV ambazo huchukua muda 'kujionesha'
 
hongera kwako... umeukwaa ule wa grade ya kwanza...

huo huwa hauonekanagi kwa vipimo hadi baadae ipite mwaka mzima.
 
Stress zako ndo zitaondoa uhai wako, sio HIV.
 
Back
Top Bottom