Mi hapo nina maujuzi ya kutosha, ntakuambia endapo utaahidi kumpigia kura Shansarie kuwa miss chit chat 2013..
Hili shindano lilitokomea wapi?Mi hapo nina maujuzi ya kutosha, ntakuambia endapo utaahidi kumpigia kura Shansarie kuwa miss chit chat 2013..
Wiki 9 mbona vipimo vinaonyesha bila tatizo? Nenda kwenye ultrasound utapata majibu tu,
Alaa, basi Nakumbuka mtoto wa ndugu yangu ilikuwa ya miezi 3 tu,walimwambia ni mtoto gani, huenda technology tofauti, poa, loveissweetDear not kwa jinsia in 9 weeks ..It has to be at least 20 weeks to have an accurate results ya gender ... Thanks..
Labda inategemea ni wapi pia.. Au insurance huwa don't want to spend more that's why huwa wanawaambiaga wamama hivyo.. I don't know but i have seen people wanaambiwa hivi from OBGYN doctor .. Insurance companies wanatu limit na vingi to the point wanawafanya hata Some Doctors to lie a lot kwa patients.. Thanks..Alaa, basi Nakumbuka mtoto wa ndugu yangu ilikuwa ya miezi 3 tu,walimwambia ni mtoto gani, huenda technology tofauti, poa, loveissweet
Namshukuru mola wa viumbe wote baada ya kuhangaika sana mke wangu sasa ni mjamzito. Tangu wiki ya kwanza ya ujauzito wake ambao sasa una wiki takribani tisa amekuwa na tabia ya kuwa na mimi karibu sana. kila wakati anataka tukae pamoja. Hataki nitoke, hataki niwatembelee jamaa na marafiki. Nikitoka kazini tu yeye karibu yangu na macho yetu kwenye TV. Kuna mtu baada ya kumhadithia haya akaniambia mkeo atajifungua mtoto wa kiume. Hivi hii kauli ina ukweli wowote wadau? Mwenye ujuzi jamani anijuze.
ahsante kwa jibu lako