Tonsils means mwili unajaribu kufight against the infections kwa kilaa hali...!! Pole Sana mkuu Kama kweli ulisex bila ndomu aiseeee...Wasalaam..
Usiku kama 3 niliweka bandiko kuwa nilitembea na binti muathirika HIV+ kwa Kutumia KINGA na nilienda kupima wiki 3 mbele nikaambiwa Niko salama (NEGATIVE)
Nimekuwa na Mambo haya yakunitatiza..
1-Maumivu ya Kichwa haswa kisogoni, Pia maumivu nikikitikisa kichwa
2-Maumivu ya shingo nikiigeuza au kuinama mbele
3-Maumivu ya Koo kama nimekabwa na kitu/kukaza misuli (Huwa nasumbuliwa na Tonsils)
4- Uchovu
Wakuu Niko njia panda hapa je hizi ni dalili za stress (tokana na yoga wa UKIMWI) au Dalili za HIV
Amesema anasumbuliwa na tonsils toka kitambo.... Au hujaelewa??Tonsils means mwili unajaribu kufight against the infections kwa kilaa hali...!! Pole Sana mkuu Kama kweli ulisex bila ndomu aiseeee...
Wewe ni Mzima Jombaa, kama demu alikua kwa Dozi vzur, na sex ilikua nzuri tu kua na aman.Mkuu tonsils Nimekuwa inanisumbua sana tangu hili balsa kunikuta
Zimeanza baada ya kupekuaa mzee... Kupeana moyo muhimu lakini piaa ukweli lazima usemweAmesema anasumbuliwa na tonsils toka kitambo.... Au hujaelewa??
Achen Kumuua mChizi bana ,wakati ni Mzima.
Hamna mkuu hujampata vzur,ni nlivoelewa nikm alikua anasumbuliwa nazo mara kwa mara tuZimeanza baada ya kupekuaa mzee... Kupeana moyo muhimu lakini piaa ukweli lazima usemwe
Mkuu ushauri wangu relax me nimekuwa Na shida kama yako muda mrefu nimekuwa nikienda Hosp sana tangu 2013 nilikuwa najihisi labda Nina HIV maana kila nikijaribu angalia njia zangu nikawa nakosa Amani kabisa ayo yote unayeleza nimepitia aseh ilifika point nikaenda Fanya operation ya tonsils lakini kipindi chote hiki sikuwahi pima HIV juzi nikasema liwalo Na liwe nikaenda pima hakuna sikuaminj nimepima sehemu nne tofauti hakuna na Sasa hivi najipima mwenyewe mara kwa mara hakuna kitu Ila nilichokuja gundua hayo mabadiliko yalianza bada ya kupata janga kubwa sana kwenye maisha yangu tangu apo afya yangu ikawa haieleweki kabisa ni kuumwa tu mara uchovu Yan balaaa Ila stress ni ugonjwa mbaya sana chunga mkuu mimi maada za humu ndo zilikuwa zinanifanya niziidi umwa aseh nilikuwa nikisoma mada humu ya ukimwi Na jinsi najisikia nasema kabisa hapa nimeumia la hasha nimejjitesa sana baada ya kupima nimekuwa Na Amani magonjwa sio tena sehemu ya mwili wanguWasalaam..
Usiku kama 3 niliweka bandiko kuwa nilitembea na binti muathirika HIV+ kwa Kutumia KINGA na nilienda kupima wiki 3 mbele nikaambiwa Niko salama (NEGATIVE)
Nimekuwa na Mambo haya yakunitatiza..
1-Maumivu ya Kichwa haswa kisogoni, Pia maumivu nikikitikisa kichwa
2-Maumivu ya shingo nikiigeuza au kuinama mbele
3-Maumivu ya Koo kama nimekabwa na kitu/kukaza misuli (Huwa nasumbuliwa na Tonsils)
4- Uchovu
Wakuu Niko njia panda hapa je hizi ni dalili za stress (tokana na yoga wa UKIMWI) au Dalili za HIV
Alafu sijui ni kwa nini me pia nilienda Hosp sababu ya kusumbuliwa Na tonsil kuna like doctor liliniudhi sana likasema labda una HIV dah nilihisi nimekuwa wabaridi mwil mzima lakini unawezaje mwambia mtu ana HIV wakati hujampima mkuu tonsil ni ugonjwa tu kama magonjwa mengine jamani tusimpe jamaa mashaka sanaHizo tonsils ndo na Mimi zinanipa mashaka
Any way subiri after 3 months kapime tena ukikuta huna jiamini
Tonsil zinasumbua watu wenye weak immunity!Alafu sijui ni kwa nini me pia nilienda Hosp sababu ya kusumbuliwa Na tonsil kuna like doctor liliniudhi sana likasema labda una HIV dah nilihisi nimekuwa wabaridi mwil mzima lakini unawezaje mwambia mtu ana HIV wakati hujampima mkuu tonsil ni ugonjwa tu kama magonjwa mengine jamani tusimpe jamaa mashaka sana
Ni kwel lakini immunity kuwa weak huchangiwa Na mambo mengi sana mkuu ikiwa ni pamoja Na stress ambazo mleta maada anapitiaTonsil zinasumbua watu wenye weak immunity!