Hizi ni dalili za stress au HIV?

Aah pole mkuu ila kuna dawa ambazo unaweza kupewa kuzuia maambukizi baada ya unsafe.hufanya kazi ndan ya masaa 72 baada ya unsafe sex Ila kwa kesi yako nahisi umechelewa masaa
Ushaur wangu!; kula vizuri ,jichanganye na watu kuondoa stress, jiweke busy na kazi zako then kachek afya yako baada ya siku 90 (miezi mitatu)
Usiwe na shaka kila kitu kitakuwa sawa
 
We unajaribu kujifariji tu, ukweli unaujua ndio maana huishi maseke...Kama uligonga kisifa ili uonekane kidume basi ujue umeumia.
Mkuu nilipiga na Kondomu bao 2 tu.... Ila tangu kuambiwa demu ana Ngoma Nina was was sanaaa
 
Watu tulikula kavu na tukawa powa sasa ww umetumia kinga unapata stress kiasi hicho pamoja nakudhibishiwa na majibu
 
acha hofu, relax subiri miezi mitatu ipite ukacheki tena kujihakikishia usalama wako
 
Mkuu nilipiga na Kondomu bao 2 tu.... Ila tangu kuambiwa demu ana Ngoma Nina was was sanaaa
Kama ulivaa ndomu na ushapima uko fresh tuliza nenge bablai! Jiamini tu you got no choice wala usipimepime tena kiduanzi.
 
Hakuna wakt mgumu kama alionao mtoa mada ....nishapitia sana hadi nimeokoka na kuacha umalaya!!
 
Ndugu pole sana Kuwa na amani sisi wengine tunasoma kimyakimya humu lakini tuliokumbana nayo nimakubwa afadhali wew ulitumia condom mwenzako nilikuwa na kademu sikujua kuwa yupo na H+ nilikuja nikasikia karibu mwezi hivi na huku nishajililia sana tu nilipokujakusikia tu taarifa basi kuanzia siku hiyo hiyo nilikuwa mgonjwa maana usingiz muda WA wiki mzima hauji si mchana wala usiku kwa ule munghuma/wasiwsi ndani ya wiki moja nilipima maratatu nikawa msomaji humu michango yao ikovizur na kuleta matumaini namshukuru Mungu mmoja nilisubir baada ya miezi 3 nikachek tena 3 nikacheki tena 5 tena 5 niko fresh sana na nishafanaya check up maabara na vyeti nikapewa niko põa Alhamdulillah.

Ondoa stress.
 
Mimi tonsils znanisumbia sana Ila haswa nikitumia vinywaji baridi au kukiwa na baridi sana au nikikaa kwenye feni au AC. JE? Inamaana namm nimeungua??mbona nimepima sana sina kitu kama ngoma?
 
Mimi tonsils znanisumbia sana Ila haswa nikitumia vinywaji baridi au kukiwa na baridi sana au nikikaa kwenye feni au AC. JE? Inamaana namm nimeungua??mbona nimepima sana sina kitu kama ngoma?
Hakuna mkuu story tu hizi za apa Na ndo Huwa zinasababisha watu wauugue hata kama sio wagonjwa sababu ya stress me nilianza umwa baada ya kuwa nasoma nyuzi humu japo nilikuwa Na stress zangu za maisha Ila baada ya kuwa na kutana Na nyuzi humu ndo nilianza umwa kweli kweli alafu cha ajabu mwili Huwa unarespond kwenye kile unasoma aseh nikisoma dalili Fulani za ukimwi apa JF nikikaa siku mbili naanza zihisi dah aseh Bila ya kwenda pima ningekufa Na presha
 
Hapo huna ngoma kama alikupa virusi viwili unangoma kama alikupa kimoja usiogope havizalian hapo hizo dalili so za ngoma google utaona mwenyewe wiki 3 za mwanzo baada ya maambukizo
 
Mkuu usisumbuke Ofisini Kwetu Tunayo Masanduku Mpaka ya Tsh. 50,000/=
Kama ukitaka ya 500,000/= pia tunayo..
RIP mkuu.
 
Huyo binti vp bado uko nae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…