Hizi ni dalili za ugonjwa au tatizo gani!!??

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
6,754
Reaction score
8,750
Habari...

Ni kwa mda sasa nimekua nina tatizo ambalo naitaji kujua chanzo chake na ni dalili za tatizo au ugonjwa gani mana napata wasi wasi kidogo

Nikwamba......sehemu zangu baadhi za mwili huwa naexperience kucheza cheza kwa nyama sehemu za mikononi na tumboni sehemu za mbavuni......hapa mbavunu huwa nafeel kabisa kama kitu kina cheza cheza sana.....inatokea kwa dakika chache na kuacha.

Naombe wataalamu mnifumbue juu ya hili.

Ahsante.
 
Nenda hospital mkuu sisi huku tunaogopa kupiga ramli chonganishi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…