Hizi ni faida 10 za kuwa Single ongezea zako

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
_Pesa zako unazotafuta ukipata unakula pekeako without mizinga
_Ata ukidondosha hela ukirudi unaikutaa
_Hutoi neti kila siku
Ukichoka huogi
_Ndoo ya maji ya kunywa ukiamua unaogea
_Kujifuta Maji na pazia baada ya kuoga
_Free kuwa na kitambi, hakuna wa kukwamba upunguze tumbo.

Ongezea naww .....wale Mashabiki wa Simba mtuache kidogo kimbieni kama kasongo ( nguruwe pori)
 
Mbona wanyakyusa hatuko hivo, kwa nini ule pesa zako mwenyewe. Huta enjoy
 
Ukiumwa unamtafuta msaada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…