Hizi ni faida 10 za kuwa Single ongezea zako

Hapana mkuu...tunaogopa matumizi yataongezeka
Nime ya shuhudia haya na wana hawatoi hata senti nina mifano mia kidogo,hamna aliye single kwa asilimia zote ,kama wapo ni wachache sana hawa vuki asimimia 25.

Halafu hawatongozi ile serous ni mazoea na matani then unashangaa mtu kaliwa na mwendo unakuwa hivyo hivyo.

Nakupa homework kama ukiwa na muda unaweza ifanya. Nimekulia uswahilini, kule unaweza kuta nyumba moja ina wapangaji kama kumi,kama kuna bachelor kapanga hiyo nyumba, basi ana uhakika wakupata K mda wowote ule,hiyo mifano ninayo mengi. Njoo makazini kuna wanawake wengine wanaliwa,kiutani utani labda ila itakayo kutoka ni ya lodge, ila uhongi hata senti.
 
[emoji23][emoji23]
 
Point ya msingi ni kupata mtu wa kuendana nae hapo tu ndio naona nimekua nikifeli.
 
Bhasi humpendi sababu any man with golden balls kutoa kwa ampendae ni pride
 
Umeongea juu juu ila kuna content kubwa saa hapa
Ila itakua imeeleweka kimtindo mkuu, watu wasichokijua nikwamba siyo lazima wote tuwepo kwenye mahusiano kana kwamba ni fashion ambayo ukipitwa nayo basi utaonekana uko nyuma sana ktk hii Dunia.

Mahusiano siyo fashion Bro ni jambo linalohitaji utulivu wa akili na umakini wa hali ya juu, kuwa single siyo kwamba tunapenda, Acha watubeze watucheke ila tumeamua kuwa single ili kuilinda amani ya mioyo yetu siyo tu kulinda vipato vyetu

Ukiwa Fukara ndiyo kabisaa mapenzi yanakuonea sana, so Acha watucheke ilihali bado tunapambana kuwatafuta wenza wetu wa maisha

Ila twende mbele turudi nyuma Mapenzi yamejaa vitimbi vya ajabu saaaana......
 
Kumpata huyo mdada ndo kipengele sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…