Faifa nyingine ni kuwa unaweza kufuga nywele kwapani kifuani pamoja na sehemu za chini ili ukijiita rasta farian uwe unaanisha kweli kweli.
Hai make sense kuacha rasta kichwani huku ktk maeneo mengine ya mwili umepiga rasta halafu unajiita Rastafari, ni unafiki.