Hizi ni filamu au maigizo?

KIPANYA

Member
Joined
Jan 3, 2011
Posts
61
Reaction score
2
Mkubwa mi nashindwa kuelewa filamu zetu za kibongo, naona wasanii wetu hawachezi filamu bali wanafanya maigizo sababu hazina hualisia kabisa kama maigizo, utakuta msanii anaongea na simu lakini sauti haipo kwenye mfumo simu kabisa au utakuta msanii wamelaa, ghafla asubuhi wameamka, muda kidogo yupo ofisini,mara yuko hotelini yaani hazina uhalisia kabisa yaani. je tunacheza filamu au maigizo?
 
bado hatujaweza kucheza filamu ni maigizo tu kama unavyoona mkuu.

ukishajua kichwa cha habari basi unakuwa umeshaielewa picha na wataenda na mfululizo huo huo mpaka mwisho. na kuna wakati wana exaggerate issue ndogo, unakuwa umeelewa wanachotaka kukuonyesha lakini wataendelea kupoteza muda bila sababu.

tatizo nafikiri ni pale ambapo mtunzi wa filam, meneja, director, main actor, producer ni mtu mmoja lazima kutakuwa na bias.
WABADILIKE
 
jaman 2po nyuma kla k2 ndo levo ye2 kama huamamn c firm 2 chunguza
mzk
mpra
katba
umic
uchum
casa
kdog pul table
 
Siyo filamu tu bali hata maisha halisia ya wabongo wengi hayajulikani kama ni maigizo,filamu au comedy???
 
jaman 2po nyuma kla k2 ndo levo ye2 kama huamamn c firm 2 chunguza
mzk
mpra
katba
umic
uchum
casa
kdog pul table

hata presidency ni kama maigizo igizo hivi, maana hata wanaompigia kampeni rais ni hao hao wacheza maigizo
 
Wewe umenena.kaka uko sahihi kabisa..Tunachofanya ni kupeana sifa za uongo sijui wapi zitatufikisha?-mfano mdogo kwenye mpira,standard yetu inaonekana kabisa kwamba hakuna kitu lakini bado watu wanaota kwenda world Cup..huo mziki ndio kabisa me naona takataka tu ukilinganisha na miziki ya watu wengine.
Bado tunahitaji kufanya kazi kubwa kufikia viwango vinavyokubalika.
 
Kutokana na
1. AINA YA SOKO LETU
2. UWEZO WA WANUNUZI
3. AKILI ZA WATANZANIA
4. AKILI NA UWEZO WA WASANII WETU NA SO CALLED CREWS

hayo unayoita maigizo ndo filamu yetu. Hatuwezi kuwa na kitu bora zaidi ya hicho
 
wamefanya ndio fasheni muvi kuwa na pt 1 n 2 :'(
 
part 1 inatuia 45min inauzwa 6000/= part 2 45 min inauzwa 6000/= kwelitutafika!!!! na maisha yetu haya!!
 
halaf majuzi maselebriti wetu walikwenda kongo na rwanda walipokelewa kuliko ahmedinajad anavyopokelewa tehrani. dah! walijiskia kama tom kruzi vile.
 
halaf majuzi maselebriti wetu walikwenda kongo na rwanda walipokelewa kuliko ahmedinajad anavyopokelewa tehrani. dah! walijiskia kama tom kruzi vile.

Hii staili ya uandishi..balaa
 
Mi ndhani waache waende school kwanza then warudi na strategis za kueleweka na sio blabla wanazozionyesha mwanzo mwisho wa hayo maigizo yao ni vuchupi tu....., na kukumbnatiana tuuu mara mbuuu pist hewa basi ni full kizungu*2
mtu maisha yakimshinda hana pa kuelekea anaona aingie kweny films kumbe hana kipaji hana ujuzi....lolll wabadilike waende shule
 
Kweli filamu mbovu ile mtu anaenda beach dakika tano anafungua mlango dk 3 anatembea dk 3 bado kufungua mlango dk 1 halafu unakuta mic ya sauti inaokana juu na wanachofanya kuonyesha mavazi halafu m2 unakuta anaenda ofisini utafikiri anaenda club
 
scene jamaa anaamka asubuhi msura mkavuuu..... au amelala usiku halafu dirishani jua lipo la saa 7
 
me wananikera wanapojidai kuzungumza ungenge pori! maana ni bora kutumia kiswahili fasaa kuliko kukimbilia kiingereza usichokiweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…