Hizi ni kejeri au Unafiki?

facebook na jf (where and where)wapi na wapi..........you how??????????( we vp bwana)
 
Ungewauliza huko huko face book nadhani wangekupa jibu zuli zaidi au kama unataka tuchangie na sisi ungetuwekea hizo picha tukatoa maoni yetu vinginevyo itakuwa kesi ya wale wao tushibe sisi?
Hilo nalo neno
 
Hivi kwanini huwa mnaweka picha kwenye face book?Hivi huwa mnategemea kingine zaidi ya kusifiwa? Hivi unakuwa unawawekea wanaokujua au wasiokujua.?
 
Hata kama wakiisifia au la wakati mwenyewe unajijua.
Ni sawa na kudhani kuwa gf wako anaweza kwambia umbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…