donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kidigitaliHiyo ni digital security mkuu..Usilogwe ukawaza kufanya janja janja hapo utazikwa on spot [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kama camera tu, ila hizo ni more advanced
Hizo ni CCTV camera za wale wasioonekana zikikunasa lazima uonekane mchana kweupee umenaswaNimeenda kwa wakala kufanya Ka muamala kangu nikakuta kwa ndani juu ya mlango kuna hivi vitu viwili vimetundikwa. Kimoja ni kama kichupa kidogo na kingine ni hahaha flan imepigwa na staples.
Cc Mshana Jr
View attachment 2343972
TRA wakija wanakuta genge unauza nyanya.Hizo ni dawa za kuzuia tozo
Kimoja ulinzi kingine mvuto.. Biashara nyingi hasa hizi zibazohusisha miamala watu hawakai kizembe maana mwisho wa siku utajikuta unawafanyia kazi wengineNimeenda kwa wakala kufanya Ka muamala kangu nikakuta kwa ndani juu ya mlango kuna hivi vitu viwili vimetundikwa. Kimoja ni kama kichupa kidogo na kingine ni hahaha flan imepigwa na staples.
Cc Mshana Jr
View attachment 2343972