Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
Wewee ni greatsinker una akili za kuchotewa Sugu ni legend kuna msanii yeyote bongo ana albamu nyingi zenye nyimbo zenye sense ka sugu? Sio hawa kina quick raka na hao mashoga zenu albamu nyimbo sita afu 3 ni remix ya hzo nyingine kubali ukweli sugu ni legend
sio diwani yule ni mbunge anaitwa sugu aka mis tatuu,ni boya 2yule hajui kitu yoo
Mwanzilishi??? U can't be seriousHapo alikua anamsemea babalevo... kuhusu Sugu yy ndo mwanzikishi wa hip hop bongo.. ana mafanikio teele..