Mpango uliopo mpaka sasa according to president Trump,gaza inatakiwa ibadilishwe iwe kama dubai ,itafanyiwa total overhaul kwa hiyo hamas wamepewa siku tatu wa waachie mateka ,baada ya hapo ni kuisafisha Gaza kwa kuitindua tindua na kuondoa kila uchafu na mabomu yaliyo jificha kama kuna waliojificha mapangoni watakutana nacho huko huko lengo ni kuitengeneza Gaza kwa makazi ya watu yaliyo salama kulingana na mpango wa bwana Trump. Mfalme wa Jordan kashakalishwa kitako,bado misri lakini inavyo onekana hakuna wakuchomoa hapo.