huu Uzi umeandaa kishabiki na kinafikiAll in all, Trump na bwana wake Netanyahu hawatafanikiwa, Palestinians are their to stay in their land.
- Wanakataa kuonekana kama wasaliti kwa waarabu wenzao kwa kukubali wahamishe i.e kuwafavor wazayuni
- Wao wenyewe hawana maeneo ya kutosha ( hii sio kubwa sana)
- Strong one: wanajua Israel wakimalizana na wapalestina watahamia kwao ili kutimiza lengo lao la "Greater Israel", wazayuni wanaitaka Jordan, wanaitaka Sinai.
View attachment 3233292
Hawa Waislamu wetu, sasa ndiyo wakati waende kuwasaidia waabudu shetani wenzao. Maana kimeumana, mwanzoni si walikuwa wakibembelezwa na muislamu mwenzao Hussein Obama! Tuone sasa kama hawatawaachia hao mateka ifikapo Jumamosi. Na Trump amewapelekea Isreal the Mother of All Bombs kutindua tindua magofu ya Gaza.Mpango uliopo mpaka sasa according to president Trump,gaza inatakiwa ibadilishwe iwe kama dubai ,itafanyiwa total overhaul kwa hiyo hamas wamepewa siku tatu wa waachie mateka ,baada ya hapo ni kuisafisha Gaza kwa kuitindua tindua na kuondoa kila uchafu na mabomu yaliyo jificha kama kuna waliojificha mapangoni watakutana nacho huko huko lengo ni kuitengeneza Gaza kwa makazi ya watu yaliyo salama kulingana na mpango wa bwana Trump. Mfalme wa Jordan kashakalishwa kitako,bado misri lakini inavyo onekana hakuna wakuchomoa hapo.
They won't succeedMpango uliopo mpaka sasa according to president Trump,gaza inatakiwa ibadilishwe iwe kama dubai ,itafanyiwa total overhaul kwa hiyo hamas wamepewa siku tatu wa waachie mateka ,baada ya hapo ni kuisafisha Gaza kwa kuitindua tindua na kuondoa kila uchafu na mabomu yaliyo jificha kama kuna waliojificha mapangoni watakutana nacho huko huko lengo ni kuitengeneza Gaza kwa makazi ya watu yaliyo salama kulingana na mpango wa bwana Trump. Mfalme wa Jordan kashakalishwa kitako,bado misri lakini inavyo onekana hakuna wakuchomoa hapo.