Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Nifah

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2014
Posts
34,020
Reaction score
79,098
U hali gani Ali Kiba? Natumai u mzima kabisa na unaendelea vyema na shughuli zako za muziki.
Mimi kama shabiki/mpenzi na mfuasi wako napenda kukupongeza kwa kitendo chako cha kishujaa na chenye hekima cha kutokuhudhuria kwenye mkutano wa kuzindua kampeni na ilani za chama cha CCM uliofanyika leo jijini Dar Es Salaam katika viwanja vya Jangwani.

Leo mchana nilisikia tetesi kuwa utakuwepo jangwani, niliumia sana.
Niliamua kusitisha shughuli zangu zote leo ili niweze kuangalia mkutano huo niweze kuona kwa macho yangu kama utaweza kufanya onesho kwenye mkutano ule au lah!

Lakini hadi mwisho wa mkutano sijakuona kabisa, kwa hili nakupongeza sana Ali Kiba. Umenipa sababu za kukupenda na kuzidi kuupenda muziki wako mara dufu.
Kila mara huwa nasema kuwa siupendi mziki wako tu, bali na mtindo wako wa maisha kiujumla.

Tunapoongelea suala la msanii ni kioo cha jamii, wewe ndiye hasa unayefaa kuitwa kioo cha jamii.
Busara na hekima zako Mungu alizokujalia na kipaji chako ni tunu ya kipekee....hongera sana.

Naomba hekima hizo zisiishie kwenye mkutano wa leo tu, bali mikutano yote inayohusu chama cha CCM. Sitaki kuzungumzia hili zaidi maana hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuwaunga mkono viongozi na chama hiki kiujumla.

Naomba usinitie aibu mimi na mashabiki wenzangu kama yule mwenzio alivyowatia aibu na kuwakera mashabiki wake kwa kitendo chake cha kuonesha mahaba yake hadharani juu ya chama dhalimu cha Mapinduzi na mgombea wake Magufuli.

Kwa hili, nasema ASANTE SANA.
NAKUSHUKURU NA KUKUAHIDI KUWA SHABIKI WAKO MILELE!
MUNGU AKUBARIKI.
 
nilipoona aliyetoa taarifa ni kedrick nikajua ni porojo tu maana jamaa hana jema kumhusu kiba, labda aniletee picha
 
Last edited by a moderator:

kwa hiyo unampenda mtu akiwa sawa na itikado zako tu????
 
Yani nilivosikia atatumbuiza niliishiwa nguvu nikawaza huyu ni kiba au mwingine mana kwenye page yake sikuona aki post mipasho yake Kumbe unajitambua #KingKiba ndo mana unanipa sababu billion za kuzidi kukupenda. Please don't disappoint ua Fan's

That's my girl Diva Beyonce. ...

Kiukweli katika wasanii wa bongo flavour tena walio kwenye pick basi Ali Kiba ndiye mwanamuziki mzalendo kuliko wote.
Kwa jinsi nchi yetu ilivyooza na kubaki nyuma kimaendeleo licha la utajiri wa rasilimali tulizonazo kuishabikia CCM inabidi upimwe akili.
 
Last edited by a moderator:
Kwa maslahi mapana ya taifa yeyote atakayekuwa tofauti na mabadiliko, tena mabadiliko hayo ni kuichagua Chadema kupitia UKAWA kuongoza nchi hii baada ya CCM kushindwa kwa miaka 54, tofauti na hapo akae mbali na mimi.

mmmh.. umefikia huku? haya kila la kheri.
 
That's my girl Diva Beyonce. ...

Kiukweli katika wasanii wa bongo flavour tena walio kwenye pick basi Ali Kiba ndiye mwanamuziki mzalendo kuliko wote.
Kwa jinsi nchi yetu ilivyooza na kubaki nyuma kimaendeleo licha la utajiri wa rasilimali tulizonazo kuishabikia CCM inabidi upimwe akili.
Sio msanii kutumika ili Ku influence ujinga wakati kila kitu kiko wazi na hali ya uchumi ulivo mubovu,hospital hali tete shilingi haina thamani kwa vile wasanii wanajua kukata kiuno wapotoshe. Yani Leo kanifurahisha hajawa mnafiki hata ku post ujinga. Aendelee hivi hivi
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa, kaka hata wewe ukizingua ukae mbali na mimi.
Sitaki urafiki na wajinga wanaotaka kuiangamiza nchi yangu kipenzi Tanzania.

ila kwenye ukoo wetu wapo watu wa ukawa tena viongozi na ccm viongozi..na wako poa tu na kutaniana kwenye vikao vya familia hawako hivi...hata mbowe hayupo hivi my sister.

ila unahaki ya kuwa hivi..jamaa wa jembe na nyundo wametulet down big time for 54 damn years.!! sad
 
Sio msanii kutumika ili Ku influence ujinga wakati kila kitu kiko wazi na hali ya uchumi ulivo mubovu,hospital hali tete shilingi haina thamani kwa vile wasanii wanajua kukata kiuno wapotoshe. Yani Leo kanifurahisha hajawa mnafiki hata ku post ujinga. Aendelee hivi hivi

Ali Kiba ametupa heshima kubwa sana.
Kwanza anajitambua, maana wasanii hawa wanavyonyanyasika nani asiyeona jinsi wanavyonyonywa na miungu watu katika industry ya muziki?
Chombo cha kuwatetea na kulinda maslahi yao hakina cha maana wanachokifanya zaidi ya kuwakandamiza.
Hongera tena ALI KIBA.
 
Back
Top Bottom