Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

huyu dada anachukulia watu simple humu kwa kazi ya kuajiriwa, nchi bado haina fursa hii, siku akifunguka ataelewa, unajua whatsapp zuckerberg alinunua kiasi gani? kutoka kwa nani? kama mtu hafai leo haimaanishi kuwa hafai kesho

Hahahaaaaa dada tena? Mie nimekaa pembeni tu wala simsemeshi chochote maana naona tutakesha.
 
Kapumzikeni nyinyi hamna hoja. Kazi kuvaa magwanda hali ya kuwa hata jeshini hamkupitia.
 
Yaani nyinyi ni wagonjwa kabisa. Ndo mumeona mutokelezee na magwanda!!!!!!!! Ovyooooooo
 
Na mimi ni muungwana na wazazi wangu ni waungwana wamenilea vema. Sikutukani. Kwani msemo wa waungwana ni kuwa usibishane na mpumbavu kwa sababu werevu hawataona tofauti

Huna jipya,
Una masters; familia yenu maisha bora, unaendesha gari zuri sana.Ila akili zako hazina akili lazima utakua fisadi.
Kama huna matusi zile dash dash juu zilikua salam?
 
DOMO ATAKUWA SIO MTANZANIA....ile ni tabia ya kishirikina...ametusaliti watanzania nasi tunamgeuzia kisogo..blood basket
 

mombasa international cultural show




























FRENCH VISITORS


















MSTAHIKI GAVANA WA MOMBASA BW. JOHO





 
Asante sana mkuu waltham kwa picha.
Hadi nimetamani jinsi wenzetu wanavyojua kutunza na kuenzi tamaduni zao.
Hii nchi yetu iliyooza hata vazi la taifa tu limetushinda!
 
Last edited by a moderator:

utakufa Siku si zako
 
Diamond na Benjamin Mkapa wana tarizo linalofana, Mkapa kasitiriwa aibu na Mramba sasa huyu domo chapati sijui katombewa na nani?

Matola eeeh! acha kuzingua ndugu...ulidai NIKUWEKEE LINKS ZA AWARDS ZA KIBA NIKAKUWEKEA LAKINI HAMNA ATA LINK MOJA ULIYOATTACH KWENYE POST YAKO YA ALIKIBA'S FANS...VIP MBONA UNAZINGUA SASA NA UTAMBUE MUDA WA KUVOTE KWA "AFRICAN ENTERTAINMENT AWARDS" UMEKWISHA MAANA IMEBAKI WIKI MOJA TU (SIKU 7)...WASITISHE KUPOKEA KURA THEN TUZO ZITATOLEWA TAREHE 5-SEPTEMBER HIVYO NAKUOMBA TENA UKAWEKE LINK YA HIZO AWARDS KWENYE POST YAKO YA KIBA MAANA WEWE NDO ADMIN KWENYE ILE THREAD NINGEKUWA MIMI NDO MWANZILISHI NINGESHAWEKA ZAMANI SANA...ACHA KUZINGUA NIMECHOKA KUKUPIGIA KELELE NDUGU.MATOLA KWANINI HUELEWI???

#MUHIMU
TUZO ZA "AFRICAN ENTERTAINMENT AWARDS"...Mwisho wa kupigia kura kwa msanii wako unaompenda ni tarehe-31 mwezi huu,hivyo washabiki na wapenda muziki wa ALIKIBA twende tukampigie kura ALIKIBA KWENYE KIPENGELE CHA "BEST NEW ARTISTE OF THE YEAR" kwenye link hii:https://www.surveymonkey.com/r/?sm=19h99DtilvZwuwcMWI4cjVBFk/HuQm3NyL77Io2hHP0=

TUFANYE HIVYO WOTE KWA PAMOJA TENA MARA NYINGI TUWEZAVYO MAANA HAKUNA KIWANGO CHA MWISHO CHA KURA ILI ALIKIBA NAYE AWEZE KUBEBA TUZO HIYO!
☆ASANTENI NA TUNAKUMBUSHANA TU WAUNGWANA...
 

Jamani tusiishie tu kumpongeza #ALIKIBA bali tukumbuke na kumpigia kura kwenye tuzo za "AFRICAN ENTERTAINMENT AWARDS" kwenye kipengele cha "BEST NEW ARTISTE OF THE YEAR"...ambazo imebaki wiki moja tu wafunge dirisha la upigaji kura na tuzo zitatolewa tarehe 5 September!


LINK YA KUPIGA KURA HII APA:https://www.surveymonkey.com/r/?sm=19h99DtilvZwuwcMWI4cjVBFk/HuQm3NyL77Io2hHP0=

☆Kwa mashabiki wote wa #ALIKIBA na wote wanaopenda muziki wake tukumbuke kumpigia kura hapo ili aweze kupata TUZO HIYO!
 

Ni kweli mkuu Pionaire lakini panapostahili pongezi tumpe.
Kafanya poa ndio maana tunampongeza namna hii.
Ngoja nipige kura sasa hivi.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu Pionaire lakini panapostahili pongezi tumpe.
Kafanya poa ndio maana tunampongeza namna hii.
Ngoja nipige kura sasa hivi.

Yah!...ni kweli ata mie nampongeza nifah lakini mimi nilikuwa nafahamu wazi kuwa kiba hawezi fanya upuuzi kama waliofanya wasanii wenzake!
#EDWARDLOWASSA FOR PRESIDENCY-2015
 
Magufuli ni kiongozi anayependwa na Watanzania wengi sana, mapenzi yao yametokana na uhodari na uchapakazi wake. Kutohudhuria kwa baadhi ya wasanii kumetokana na kupatwa na dharura za kifamilia na wala siyo kutokua na mapenzi na CCM. asingekua na mapenzi na CCM asingeweza kutunga wimbo wa kumsifia CCM na Magufuli bila kuambiwa na bila kulipwa senti hata moja.

Nami nakushauri uungane na kipenzi chako Ally Kiba kwenye harakati za kumpeleka ikulu mchapakazi wetu Rais Magufuli.
#hapa kazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…