Wewe unayejua ilikuwaje hadi hakuwepo?
Mi nilidhani unauhakika hakuwepo na sababu unajua kumbe unabahatisha kwakuwa hukumuona jukwaani tuu mbona kiba ni muudhuliaji mzuri tuu wa mambo ya ccm siwezi kumlaumu hata diamond anatetea tumbo lake ila anajitengenezea mazingira magumu kwani sasa hvi wananchi wanahamu sana na mabadiliko kuliko mziki .
Sikiliza nikuambie wewe, tusichukuliane poa hapa hizi ni fake id's tu.
Ukweli ni kwamba Ali Kiba alifuatwa na kuombwa kuhudhuria mkutano wa jana kwa malipo ya ml. 120 lakini akakataa kutokana na kujua kwamba kwa kufanya hivyo atajiweka katika wakati mgumu kama ulivyosema kuwa Watanzania wanataka mabadiliko.
Ule ni mkutano wa kisiasa na sio burudani, ndio maana nimempongeza.
Tatizo liko wapi?
Lete hoja ndugu kuchukuliana poa ndio???? Hiyo ya millioni 120 ni uzushi kwakuwa nikikuomba ushahidi huna wala yeye hajasema hizo kauli ila tuache hilo kiuhalisia alikiba nae ni mmoja ya watu washiriki sana wa hafla za ccm kama yupo upande wa ukawa basi ajionyeshe wala asiogope nakumbuka enzi za vita misri wachezaji hawakuwa waoga walionesha misimamo yao uwanjani japo walifungiwa ila walisimama ktk ukweli.
Hakika mtoa mada amenigusa penyewe kwa hili naungana nawe 100%. Kiba popote ulipo unayo nafasi ya kutangaza muziki bila kikwazo chochote mbele yako.
Muziki ni kazi isiyohitaji kujikomba kwa wakubwa, ni taaluma hata kama hukwenda darasani. Cha msingi komaa na usife moyo na majigambo ya wenye tamaa ya hela hata kama kuuza utu wao kwaajili ya pesa. Muziki upo na utaendelea kuwepo
Ndio maana tokea mwanzo nilikuambia leta ukweli unaojua wewe husemi umekalia uzushi uzushi.
Ndio maana nikakutahadharisha kuwa hizi ni fake id's, hivyo hunijui mimi ni nani na wala wewe sikujui.
Jibu hoja kwa hoja, mimi nimesema alikataa ml. 120 wewe kusema ni uzushi sio hoja.
Nilichokisema nina uhakika nacho wala sijakurupuka.
Lete ushahidi au we ukisoma thread kwako ni ushahidi tuu??? Tunataka ushahidi kutoka kwake yeye au waliohusika kwenye hiyo deal tofauti na hapo mtakuwa mnaendeleza tabia ya watanzania wengi kuwa watabiri............hoja inakuja na ushahidi hiki kitu umekianzisha wewe ndio unatakiwa utoe ushahidi ili tujue unachoongea ni kweli ama umetunga kwa kuhusanisha matukio
Augustine: Ahsante sana kwa hiyo shule ndugu yangu. Palipo na ukweli uongo hujitenga.
Staili za uongozi zinatofautiana. Lakini hii staili ya bwana misifa JK mimi imeshaniacha hoi. Kila siku ni kutafuta makofi. Na kwa wataanzania tulivyo, tutampigie kweli makofi, lakini in the long run, sijui mungu atusaidie.
Ushahidi wa kwann hajahudhuria huna unababaisha hzo million 120 ulimpelekea ww akakataa??? Acha porojo alikiba na ccm ni chupi na tako
Wewe nimeshajua lengo lako ni kunikarahisha nitukane kama wewe unavyofanya, kwa hilo hunipati.
Nimeshasema Ali Kiba alipewa ml. 120 akakataa na kwenda zake Mombasa kufanya show ya mil. 50.
Ushahidi unaoutaka ni upi? Kwani walikubaliana useme waliandikishiana mkataba hivyo nioneshe huo mkataba? Walishindwana ndio maana.
Ukweli ndio huo hutaki acha maana sijakulazimisha.
Mimi kitendo cha yeye kutokuhudhuria ule mkutano kwangu ni cha kupongezwa no matter what.
Pia naamini Kiba hana hayo mambo ya CCM maana wenzie walionunuliwa wote wameweka mabango ya CCM na Magufuli kwenye social networks zao, wewe umemuona wapi Kiba akiisapoti hiyo CCM?
Kuhudhuria mambo ya wanaccm tuu hyo ni sababu tosha hebu kumbuka wiki iliyopita kulikuwa na show zawahusu wanaccm huyo kiba mbona alikuwa mstari wa mbele hyo ya millioni120 ni utunzi wako kama wanapropaganda mnavyoendelea kutunga mambo pia kutukana ndio malezi yako tukana tuu
Sawa ila naomba kura yako iende kwa Chadema tafadhali.
Na ujirani wetu udumu, Amina.
Yani nilivosikia atatumbuiza niliishiwa nguvu nikawaza huyu ni kiba au mwingine mana kwenye page yake sikuona aki post mipasho yake Kumbe unajitambua #KingKiba ndo mana unanipa sababu billion za kuzidi kukupenda. Please don't disappoint ua Fan's
Wewe ni kilaza, huna hoja zaidi ya ubabaishaji tu.
Kabishane na wababishaji wenzio huko, mimi nilianzisha thread hii kumpongeza Ali Kiba kwa kutokuhudhuria kwake mkutano wa CCM basi.
Hizo porojo sina muda nazo.
Wewe unayejua ilikuwaje hadi hakuwepo?
Teh! Teh!
Naipenda sana akili yako kubwa.
Si unaona swali lilivokimbiwa??