Hizi ni shule zetu za Tanzania

Hizi ni shule zetu za Tanzania

mij

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2013
Posts
1,993
Reaction score
2,120
TAFAKARI KWA MAKINI

attachment.php

Hawa ni wanafunzi wa shule mojawapo ya msingi hapa nchini Tanzania.

Wanafunzi wamekaa sakafuni, je kwa mazingira haya tutafika kweli?
Je watoto wetu watapenda kwenda shule kama mambo yenyewe ni haya?

Attachments

Ahhhh, hiyo ina afadhali kabisa, CCM wamehakikisha wanaondoka 2015 sekta ya elimu ikiwa hoi kabisa. Just Imagine matokeo ya Kidato cha nne yameanza kuwa mabaya 2006 baada tu ya Dr Kikwete kuingia Ikulu na yataendelea kuwa mabaya hadi 2015 Dr Kikwete akitoka. Na hapo wamechakachua hadi kwa KUFAULISHA wasiojua kusoma na kuandika...50 darasa.jpg
Kama hao unasema wanataabika sijui hawa watasemaje sasa??

50 Elim.jpg
Au hawa....

KAWAMBWA OYEEEEEEEEE
 
Ahhhh, hiyo ina afadhali kabisa, CCM wamehakikisha wanaondoka 2015 sekta ya elimu ikiwa hoi kabisa. Just Imagine matokeo ya Kidato cha nne yameanza kuwa mabaya 2006 baada tu ya Dr Kikwete kuingia Ikulu na yataendelea kuwa mabaya hadi 2015 Dr Kikwete akitoka. Na hapo wamechakachua hadi kwa KUFAULISHA wasiojua kusoma na kuandika...View attachment 93073
Kama hao unasema wanataabika sijui hawa watasemaje sasa??

View attachment 93074
Au hawa....

KAWAMBWA OYEEEEEEEEE

bila shaka hawa wa chini waliambiwa laleni na mwalimu, huku yeye ana chati na Fb, ila inasikitisha sn, ngoja na mimi nikuwekee ya eneo lingine uone majengo yao, halafu mpaka leo kuna watoto wanaenda shule pekupeku bila viatu, na idadi yao ni kubwa, nilishangaa na kushikwa na huruma na kuwasikitikia.
 
Kuna jina la Kiswahili ambalo ni mahususi kwa watu wasiokuwa na shukrani ila limenitoka.

Mleta thread hauna shukrani na watu wa aina yako hata umfanyie kitu gani hawezi kuridhika.
 
Huu ndo ubovu wa serkal yetu kutochukulia maamuz na kuyatatua malalamiko ya wananchi yahusuyo elim matokeo yake yanakuja kutokea kama yalyotokea kwenye matokeo ya mtihan wa kidato cha nne uliofanyika 2012 na kuwapelekea kuingia gharama za upangaj upya wa matokeo,wakat gharama hzo wangeztumia kuboresha elm hasa ya msingi pengine yasngekuwa mabaya.Mungu tu ainusuru nchi yetu
 
Kuna jina la Kiswahili ambalo ni mahususi kwa watu wasiokuwa na shukrani ila limenitoka.

Mleta thread hauna shukrani na watu wa aina yako hata umfanyie kitu gani hawezi kuridhika.

Yaani mtu ashukuru kwa kutendewa yanayorudisha nyuma maendeleo??!!
Sentensi hii hapa chini inakuhusu 100% -nimemnukuu mtu.

"Wewe ni ng'ombe uliejaaliwa uwezo wa kuandika lakini ukanyimwa uwezo wa kufikiri"
Mbwa wa Manzese - JF 2013
 
Kuna jina la Kiswahili ambalo ni mahususi kwa watu wasiokuwa na shukrani ila limenitoka.

Mleta thread hauna shukrani na watu wa aina yako hata umfanyie kitu gani hawezi kuridhika.

Nyie watu wa PWANI mna matatizo sana, mi nilijua nyie ndio waasisi wa KISWAHILI kumbe lugha hamuijui bali mmebakia na TABIA ZA KISWAHILI...

Shukrani unatoa kama mtu amekufanyia kitu KIZURI, sidhani kwenye picha ya mtoa mada kuna kitu kizuri kwa elimu yetu. Hata kama tunalipwa buku saba au tunajikomba tupate vyeo kuna vitu vingine vinahusu maslahi mapana ya Taifa letu lazima tuilazimishe serikali yetu itimize wajibu. Serikali inao wajibu wa kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania anasoma akiwa amekaa kwenye dawati, mahali pasafi na sio kuwagalagaza chini watoto wa kitanzania karne hii...

Kinana na madent.jpg
Labda kama shukrani ndio hii hapa...
 
Kwa style hii sishangai masisem yanajiita dokta bila kusomea(alietoka mapovu kumtetea jangili) mwingine ni profesa lakini wa tunguli kama wanaweza jipachika majina haya watabiresha elimu za watoto wetu???
Hawafai hawafai hata kwa mbeleko masisiem ni ibilisi linalowanyonya watanganyika...
 
Nyie watu wa PWANI mna matatizo sana, mi nilijua nyie ndio waasisi wa KISWAHILI kumbe lugha hamuijui bali mmebakia na TABIA ZA KISWAHILI...

Shukrani unatoa kama mtu amekufanyia kitu KIZURI, sidhani kwenye picha ya mtoa mada kuna kitu kizuri kwa elimu yetu. Hata kama tunalipwa buku saba au tunajikomba tupate vyeo kuna vitu vingine vinahusu maslahi mapana ya Taifa letu lazima tuilazimishe serikali yetu itimize wajibu. Serikali inao wajibu wa kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania anasoma akiwa amekaa kwenye dawati, mahali pasafi na sio kuwagalagaza chini watoto wa kitanzania karne hii...

View attachment 93080
Labda kama shukrani ndio hii hapa...

Mimi siyo mtu wa Pwani, kwetu ni Mahoma, Old Moshi, Kilimanjaro. Kuna mtu niliona hapa Jukwaani anatumia jina la Kikarara, Kikarara na Mahoma ni vijiji vilivyopakana. Kama jina lake linauhusiano na Kikarara ni lazima atakuwa anapajua kwa Mozee kwasababu hapo ni sehemu maarufu sana kwa kuuza mbege nzuri. Ngoja nimMention. Kikarara78

Turudi kwenye mada, unataka kuniambia Tanzania ya leo ni sawa na ya 1999? Kwanini mnakosa shukrani hivyo ndugu zangu? Kuna siku niliona Dr. Slaa akijitetea kwamba ameshindwa kutembea wilaya zote Tanzania kwasababu ya ukubwa wa Tanzania sasa jamani kama mtu kutembea tu imekuwa ngumu ndiyo itawezekana kila shule iwe kama Ubungo National Housing Primary School? Acheni hizo bana. Mnaboa.
 
Last edited by a moderator:

Unapogombea uongozi wa nchi kubwa kama Tanzania lazima uendane na changamoto zake. Hata Korea Kusini ya mwaka 1970 sio ya sasa. Huwezi kusema nchi ni kubwa na hivyo kuwatenga watu wa baadhi ya maeneo kwa kuwapa elimu mbovu ili wabakie kuwa maskini na CCM iendelee kuwatawala. Uzoefu unaonesha kuwa wasomi na watu wenye elimu nzuri huwa wanaikataa CCM na Kikwete toka ameingia madarakani anahakikisha elimu inashuka ili kuendelea kuwa na wajinga. Watoto wetu wamebakiwa kuwa na ndoto tu kama huyu hapa....
484917_442626659140511_2116293419_n.jpg
 
Ubungo National Housing Primary School? umenikumbusha hii shule, enzi hizo mwalimu Dilunga, kelvin, mwl mwakibonga, mwakibete, mwl mapunda, enzi hizo elimu bado haijaanza kuchezewa ilikuwa ile ya ukweli. ila hii ya sasa mhhhh. ukimaliza la 7 chuo kikuu.
 
Umemsahau na mwalimu Manyi.
 
Ni hatari kwani hali ndio hii lakini jana ninamuona waziri Kawambwa anarembuarembua utafikiri yuko katika mashindanoya urembo.
 
Ni kweli Jina langu la Kikarara78 lina uhusiano na Kijiji cha Kikarara, Old Moshi, Hapo ndio nyumbani, Kumbe Kamanda aka Mkuu SUMU wewe ni Jirani aka Ndugu yangu.

Mimi siyo mtu wa Pwani, kwetu ni Mahoma, Old Moshi, Kilimanjaro. Kuna mtu niliona hapa Jukwaani anatumia jina la Kikarara, Kikarara na Mahoma ni vijiji vilivyopakana. Kama jina lake linauhusiano na Kikarara ni lazima atakuwa anapajua kwa Mozee kwasababu hapo ni sehemu maarufu sana kwa kuuza mbege nzuri. Ngoja nimMention. Kikarara78

Turudi kwenye mada, unataka kuniambia Tanzania ya leo ni sawa na ya 1999? Kwanini mnakosa shukrani hivyo ndugu zangu? Kuna siku niliona Dr. Slaa akijitetea kwamba ameshindwa kutembea wilaya zote Tanzania kwasababu ya ukubwa wa Tanzania sasa jamani kama mtu kutembea tu imekuwa ngumu ndiyo itawezekana kila shule iwe kama Ubungo National Housing Primary School? Acheni hizo bana. Mnaboa.
 
Mimi siyo mtu wa Pwani, kwetu ni Mahoma, Old Moshi, Kilimanjaro. Kuna mtu niliona hapa Jukwaani anatumia jina la Kikarara, Kikarara na Mahoma ni vijiji vilivyopakana. Kama jina lake linauhusiano na Kikarara ni lazima atakuwa anapajua kwa Mozee kwasababu hapo ni sehemu maarufu sana kwa kuuza mbege nzuri. Ngoja nimMention. Kikarara78

Turudi kwenye mada, unataka kuniambia Tanzania ya leo ni sawa na ya 1999? Kwanini mnakosa shukrani hivyo ndugu zangu? Kuna siku niliona Dr. Slaa akijitetea kwamba ameshindwa kutembea wilaya zote Tanzania kwasababu ya ukubwa wa Tanzania sasa jamani kama mtu kutembea tu imekuwa ngumu ndiyo itawezekana kila shule iwe kama Ubungo National Housing Primary School? Acheni hizo bana. Mnaboa.

Kwenye issue ya madawati na madarasa ni kama sio 1999 bali kama 1985, kama wewe ni wa Kilimanjaro una haki ya kuamini kwamba kuna improvement katika sekta ya elimu hasa issue ya madawati kutokana na eneo ulilotoka. Kuna maeneo mkuu madawati wanakalia walimu tu na wanafunzi wachache na yapo mengi tu
 
ndo shule za serikali hizo.viongozi wanasomesha watoto wao shule za private,wapiga kura nao hawakomi kuwachagua hao viongizi wachumia matumbo yao.
 
Halafu eti wanaunda tume kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne!!
 
Back
Top Bottom