Ahhhh, hiyo ina afadhali kabisa, CCM wamehakikisha wanaondoka 2015 sekta ya elimu ikiwa hoi kabisa. Just Imagine matokeo ya Kidato cha nne yameanza kuwa mabaya 2006 baada tu ya Dr Kikwete kuingia Ikulu na yataendelea kuwa mabaya hadi 2015 Dr Kikwete akitoka. Na hapo wamechakachua hadi kwa KUFAULISHA wasiojua kusoma na kuandika...View attachment 93073
Kama hao unasema wanataabika sijui hawa watasemaje sasa??
View attachment 93074
Au hawa....
KAWAMBWA OYEEEEEEEEE
Kuna jina la Kiswahili ambalo ni mahususi kwa watu wasiokuwa na shukrani ila limenitoka.
Mleta thread hauna shukrani na watu wa aina yako hata umfanyie kitu gani hawezi kuridhika.

Nyie watu wa PWANI mna matatizo sana, mi nilijua nyie ndio waasisi wa KISWAHILI kumbe lugha hamuijui bali mmebakia na TABIA ZA KISWAHILI...
Shukrani unatoa kama mtu amekufanyia kitu KIZURI, sidhani kwenye picha ya mtoa mada kuna kitu kizuri kwa elimu yetu. Hata kama tunalipwa buku saba au tunajikomba tupate vyeo kuna vitu vingine vinahusu maslahi mapana ya Taifa letu lazima tuilazimishe serikali yetu itimize wajibu. Serikali inao wajibu wa kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania anasoma akiwa amekaa kwenye dawati, mahali pasafi na sio kuwagalagaza chini watoto wa kitanzania karne hii...
View attachment 93080
Labda kama shukrani ndio hii hapa...
Mimi siyo mtu wa Pwani, kwetu ni Mahoma, Old Moshi, Kilimanjaro. Kuna mtu niliona hapa Jukwaani anatumia jina la Kikarara, Kikarara na Mahoma ni vijiji vilivyopakana. Kama jina lake linauhusiano na Kikarara ni lazima atakuwa anapajua kwa Mozee kwasababu hapo ni sehemu maarufu sana kwa kuuza mbege nzuri. Ngoja nimMention. Kikarara78
Turudi kwenye mada, unataka kuniambia Tanzania ya leo ni sawa na ya 1999? Kwanini mnakosa shukrani hivyo ndugu zangu? Kuna siku niliona Dr. Slaa akijitetea kwamba ameshindwa kutembea wilaya zote Tanzania kwasababu ya ukubwa wa Tanzania sasa jamani kama mtu kutembea tu imekuwa ngumu ndiyo itawezekana kila shule iwe kama Ubungo National Housing Primary School? Acheni hizo bana. Mnaboa.
Ubungo National Housing Primary School? umenikumbusha hii shule, enzi hizo mwalimu Dilunga, kelvin, mwl mwakibonga, mwakibete, mwl mapunda, enzi hizo elimu bado haijaanza kuchezewa ilikuwa ile ya ukweli. ila hii ya sasa mhhhh. ukimaliza la 7 chuo kikuu.
Mimi siyo mtu wa Pwani, kwetu ni Mahoma, Old Moshi, Kilimanjaro. Kuna mtu niliona hapa Jukwaani anatumia jina la Kikarara, Kikarara na Mahoma ni vijiji vilivyopakana. Kama jina lake linauhusiano na Kikarara ni lazima atakuwa anapajua kwa Mozee kwasababu hapo ni sehemu maarufu sana kwa kuuza mbege nzuri. Ngoja nimMention. Kikarara78
Turudi kwenye mada, unataka kuniambia Tanzania ya leo ni sawa na ya 1999? Kwanini mnakosa shukrani hivyo ndugu zangu? Kuna siku niliona Dr. Slaa akijitetea kwamba ameshindwa kutembea wilaya zote Tanzania kwasababu ya ukubwa wa Tanzania sasa jamani kama mtu kutembea tu imekuwa ngumu ndiyo itawezekana kila shule iwe kama Ubungo National Housing Primary School? Acheni hizo bana. Mnaboa.
Mimi siyo mtu wa Pwani, kwetu ni Mahoma, Old Moshi, Kilimanjaro. Kuna mtu niliona hapa Jukwaani anatumia jina la Kikarara, Kikarara na Mahoma ni vijiji vilivyopakana. Kama jina lake linauhusiano na Kikarara ni lazima atakuwa anapajua kwa Mozee kwasababu hapo ni sehemu maarufu sana kwa kuuza mbege nzuri. Ngoja nimMention. Kikarara78
Turudi kwenye mada, unataka kuniambia Tanzania ya leo ni sawa na ya 1999? Kwanini mnakosa shukrani hivyo ndugu zangu? Kuna siku niliona Dr. Slaa akijitetea kwamba ameshindwa kutembea wilaya zote Tanzania kwasababu ya ukubwa wa Tanzania sasa jamani kama mtu kutembea tu imekuwa ngumu ndiyo itawezekana kila shule iwe kama Ubungo National Housing Primary School? Acheni hizo bana. Mnaboa.
Ni kweli Jina langu la Kikarara78 lina uhusiano na Kijiji cha Kikarara, Old Moshi, Hapo ndio nyumbani, Kumbe Kamanda aka Mkuu SUMU wewe ni Jirani aka Ndugu yangu.
Umepata ndugu yako mkuu ila unasemaje kuhusu huu uzi mkuu