Hizi ni tabia mbaya sana

Hizi ni tabia mbaya sana

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,531
Reaction score
2,140
1. Kumpa mtu kazi aidanye baada ya kumaliza umlipe ila umlipi kwa wakati kama alivyokamilisha kazi yako kwa wakati si vyema kutoa kazi ikiwa huna uhakika na malipo au unategemea uingiziwe ndo ulipe ongea mapema na mtu unayempa kazi, wengine hata wakishatoa advance pesa ya mwisho inasumbua kumaliziwa.

2. Wanawake wengi sio sawa na upande wa wanaume ukikutana nao kwa mara ya kwanza na kipindi chote ambacho hamjafahamiana kiundani mnasalimiana lakini mkishafahamiana kama mlikiwa mnakutana njiani mnapungiana mikono sasa hivi haupungiwi hata ukipinga anajifanya haoni. Heshimuni watu wawe navyo au lah! Heshima heshima.
 
Back
Top Bottom