Hivi mimi sijijui au nakaujinga??Hivi kama umepevuka unaweza kuandika huu upupu??Kwani wewe ni mara yangapi kunyoa??mpaka uone nikitu kigeni kwako?Pili na wasiwasi na umri wako!Vitu vingine ni kumaliza mwenyewe nakutafuta washahuri mwenyewe!!Nakumbuka nilipo ota mara yakwaza hizi nywele nilikuwa nikivaa kaptula naivutia kwa chini kidogo ili waone na mimi ninayo!!samething kwenye ndevu kila saa nilihitaji kukuna nakujisemesha kwa watu ndevu zinawasha na watu walionielewa lengo langu walinipa ukweli nakunibeza usijali dogo mbona zitakuja na utazichoka!!Sasa na wewe huna pakuongelea umeamua ulete hapa ujidai kwetu!!kwakujua huku hakuna anayekufahamu ila ulitamani uweke kwenye Facebook ila kule hukutegemea kama ipo siku utakuwa na mawazo mgando na kutakuwekaka mawazo haya kwakuwa ulishajiintroduce wewe ninani na watu wanakujua wengine na ni marafiki zako hivyo uwezi kuthubutu kuweka huu upupu unaoleta huku!!ila hapa JF unathubutu,unaweza kwakuwa hautambuliki na mtu!!!Yote heri na mbuzi ni wa Bwana Heri!!Pole kama nimekuandama ila ni sehemu ya kuelimishana!Karibu!