Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Tumwinbe Mungu sala ZETU ziwafikie mzifanyie kaziii
NASHAURI kwa MATUKIO machafu yanayoendelea LIGI ya NBC via marefa
Naomba mwakan muwaachie wenyewe wapambane na hali zaooo
Hizi PESA za WAAMUZI zinaonekana aziwatoshi kabisa na sasa wameona wanxe kuharibu mechi za LIGI yetu
Mungu atusaidie kwa kweli hii LIGI sio ya kupeleka HATA alafu Tano
Ee Mungu TUSAIDIE