Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Feb 19, 2025 #1 Tumwinbe Mungu sala ZETU ziwafikie mzifanyie kaziii NASHAURI kwa MATUKIO machafu yanayoendelea LIGI ya NBC via marefa Naomba mwakan muwaachie wenyewe wapambane na hali zaooo Hizi PESA za WAAMUZI zinaonekana aziwatoshi kabisa na sasa wameona wanxe kuharibu mechi za LIGI yetu Mungu atusaidie kwa kweli hii LIGI sio ya kupeleka HATA alafu Tano Ee Mungu TUSAIDIE
Tumwinbe Mungu sala ZETU ziwafikie mzifanyie kaziii NASHAURI kwa MATUKIO machafu yanayoendelea LIGI ya NBC via marefa Naomba mwakan muwaachie wenyewe wapambane na hali zaooo Hizi PESA za WAAMUZI zinaonekana aziwatoshi kabisa na sasa wameona wanxe kuharibu mechi za LIGI yetu Mungu atusaidie kwa kweli hii LIGI sio ya kupeleka HATA alafu Tano Ee Mungu TUSAIDIE
P pet96 JF-Expert Member Joined Feb 23, 2022 Posts 651 Reaction score 1,178 Feb 19, 2025 #2 Kwani bingwa kashapatikana?
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Feb 19, 2025 Thread starter #3 pet96 said: Kwani bingwa kashapatikana? Click to expand... Kwa mazingira yanayofanyika na hao WAAMUZI Wala huulizi hili
pet96 said: Kwani bingwa kashapatikana? Click to expand... Kwa mazingira yanayofanyika na hao WAAMUZI Wala huulizi hili
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 5,392 Reaction score 14,646 Feb 19, 2025 #4 Mpwa kheri ya mwaka mpya ,pole kwa matokeo ya leo ,tuendelee kuomba uzima kwa mizimu yetu . Hata marekani ilianza Kama Tanzania
Mpwa kheri ya mwaka mpya ,pole kwa matokeo ya leo ,tuendelee kuomba uzima kwa mizimu yetu . Hata marekani ilianza Kama Tanzania
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 4,698 Reaction score 6,670 Feb 19, 2025 #5 Wamekataa ligi ya ustaarabu. Wacha waonyeshwe kwamba kama mbwai iwe mbwai.Hakuna kitakachoachwa.
N Noti bandia JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 2,684 Reaction score 4,315 Feb 19, 2025 #6 NBC hajaenda kugawa pesa ligi kuu bure, bali kupata wasaa wa ligi kumtangazia biashara yake