Hizi Pete zina kazi gani?

Hizi Pete zina kazi gani?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Screenshot_20221123-153345.jpg
 
Hizo pete zina vito vya thamani ili kuvutia majini..wapate bahati na pesa.

Kuna mstari mwembamba sana kati ya waimani hiyo na ushirikina.

#MaendeleoHayanaChama
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza, hakuna Imani ya Mungu inayokubali shirk, labda Ile inayoweka masanamu live kwenye nyumba za ibada
 
Back
Top Bottom