Hizi picha za avirl bila makeup zimebamba je wasanii wa kike bongo vipi?

Hizi picha za avirl bila makeup zimebamba je wasanii wa kike bongo vipi?

Changes boy

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
552
Reaction score
363
Msanii avirl bila make-up japokua analo tatizo la ngozi (acne).wasanii wabongo waweza weka picha zao bila makeup japo kuwa hawana au wanalo tatizo la muonekano wa nyuso.
Msanii Avirl bila make-up
Screenshot_20170826-163655.png
 
Bila make up? Ana lips nyekundu hivyo bila make up?

Au hamjui lipstick ni make up pia?
 
Back
Top Bottom